Bin Kisafuru
Member
- Oct 4, 2018
- 85
- 127
Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi sana ila kuchepuka ndio kubwa kuliko.
Tujuze je' ulishawahi kuchepuka? kipi kilikufanya ukachepuka? bado unaendelea kuchepuka? je unajutia uchepukaji wako? je ulithubutu kumuomba msamaha mwenzako?
Share hapa kisa chako cha kukufanya uchepuke, pengine utapata afadhali kwa kutua mzigo kama unajutia, na kama unalipiza tuambie unajiskiaje baada ya mwenzio kumwaga mboga na ww ukaamua kumwaga ugali.
Mimi binafsi huwa nachepuka nikiwa mbali na mwenza wangu zaidi ya wiki mbili (yaan genye zikizidi ndo hata shetan akitaka kunipitia ntakubali) ila tukiwa wote hata sina shida kabisa.