Na Ambangile, B
Muda wako ni kitu cha msingi sana ambacho familia yako inahitaji toka kwako, mume wako anashida saana na muda wako kuliko pesa unayoweza kumpa, halikadharika mkeo anashida sana na muda wako pengine kuliko kitu kingine chochote toka kwako, mpe muda
Kaa na mkeo, pigeni urabu pamoja, ni TIBA HII
Kaa na mumeo, mpe umbea wa mchana kutwa, msimulie kuhusu majiran zenu wanavyoenenda asipokuwepo, Semelea kwake
ni palizi ktk ndoa yako
Baba, chukua Henessy, pata Savannah pamoja na mkeo mkiws nyumbani kwenu huku mkiwajadiri watoto wenu na uzao wenu wote, maisha ndiyo haya sasa
Kijana nikueleze ukweli
,ukiwa bado unahangaika na maisha ya kutafuta pesa, jitajidi saana kuwa na muda wa kutosha wa kukaa pamoja na mkeo
tenga muda na wala achana na insta wala facebook hata whatspp wakati huo, kaeni nje kunyweni pombe pamoja, tafakarini pamoja na wala asikuone upo busy na cm, jiweken karantine pamoja, NI IBADA HII
hata mkilewa Mungu atawasamehe....
Ulivyofika kwenye ndoa, rafiki yako mkubwa ni mmeo/mkeo, punguza ule muda wa kila siku upo na Mwakatuma Nwakaupo naPaul S John, Abrahamu Nzowa ....wakati wa kukaa na mkeo uwe mwingi zaidi japo usiwasahau washika dau hawa watakaoshika jembe kukuzika
Dadaangu, ni kweli upo busy sana na kazi, ofisn kwako, lkn kumbuka kutafuta muda wa kuwa pamoja na mumeo, tafakari hata uumbaji wa dole gumba la mumeo, mcheke kwa nn anavidole vibaya namna hiyo, hebu sifia nywele pilipil za mumeo, na ndevu zake zisizokuwa na ushirikiano kama waarabu wa Dubai, namaanisha Mjue vema mumeo physically
Pambaneni kuyatafuta maisha msije sahau kupalilia uhusiano wenu wala kustawisha kwa maji ya uzima ambayo ni MUDA, Muda wenu ni asset kuu ya ndoa yenu, kupendana kunaanzia na muda unaojivunia kushinda na mwenza wako, je upo tyr kupata harufu ya mkeo/mmeo kutwa nzima ?Ni upendo wa Agape huu

Kwa kipindi hiki cha Covid 19 ,msisahau kuweka sanitizer mezani(msije mkainywa mkilewa
) ,kumbushaneni measures za kujikinga na janga
zaidi kaeni pamoja kwa Muda, MUDA NI TIBA YA NDOA 
ASIWEPO MTU WA KUTAMKA NAPOTEZA MUDA KUKAA HAPA NA WEWE
, hata kama hamna pesa huo ni uwekezaji tosha kwenye ndoa yenu.
Invest plenty of time with your husband/wife
Bishaneni, ongezen weledi pamoja....Chukua Cm muoneshe post ya Ambangile then endeleen kupombeka mpaka muda mtakaoitwa mkapate chakula
MUDA MUDA MUDA =MALI

Na Ambangile
Muda wako ni kitu cha msingi sana ambacho familia yako inahitaji toka kwako, mume wako anashida saana na muda wako kuliko pesa unayoweza kumpa, halikadharika mkeo anashida sana na muda wako pengine kuliko kitu kingine chochote toka kwako, mpe muda

Kaa na mkeo, pigeni urabu pamoja, ni TIBA HII

Kaa na mumeo, mpe umbea wa mchana kutwa, msimulie kuhusu majiran zenu wanavyoenenda asipokuwepo, Semelea kwake
ni palizi ktk ndoa yako
Baba, chukua Henessy, pata Savannah pamoja na mkeo mkiws nyumbani kwenu huku mkiwajadiri watoto wenu na uzao wenu wote, maisha ndiyo haya sasa

Kijana nikueleze ukweli
,ukiwa bado unahangaika na maisha ya kutafuta pesa, jitajidi saana kuwa na muda wa kutosha wa kukaa pamoja na mkeo
tenga muda na wala achana na insta wala facebook hata whatspp wakati huo, kaeni nje kunyweni pombe pamoja, tafakarini pamoja na wala asikuone upo busy na cm, jiweken karantine pamoja, NI IBADA HII
hata mkilewa Mungu atawasamehe....Ulivyofika kwenye ndoa, rafiki yako mkubwa ni mmeo/mkeo, punguza ule muda wa kila siku upo na Mwakatuma Nwakaupo naPaul S John, Abrahamu Nzowa ....wakati wa kukaa na mkeo uwe mwingi zaidi japo usiwasahau washika dau hawa watakaoshika jembe kukuzika

Dadaangu, ni kweli upo busy sana na kazi, ofisn kwako, lkn kumbuka kutafuta muda wa kuwa pamoja na mumeo, tafakari hata uumbaji wa dole gumba la mumeo, mcheke kwa nn anavidole vibaya namna hiyo, hebu sifia nywele pilipil za mumeo, na ndevu zake zisizokuwa na ushirikiano kama waarabu wa Dubai, namaanisha Mjue vema mumeo physically

Pambaneni kuyatafuta maisha msije sahau kupalilia uhusiano wenu wala kustawisha kwa maji ya uzima ambayo ni MUDA, Muda wenu ni asset kuu ya ndoa yenu, kupendana kunaanzia na muda unaojivunia kushinda na mwenza wako, je upo tyr kupata harufu ya mkeo/mmeo kutwa nzima ?Ni upendo wa Agape huu

Kwa kipindi hiki cha Covid 19 ,msisahau kuweka sanitizer mezani(msije mkainywa mkilewa
) ,kumbushaneni measures za kujikinga na janga
zaidi kaeni pamoja kwa Muda, MUDA NI TIBA YA NDOA 
ASIWEPO MTU WA KUTAMKA NAPOTEZA MUDA KUKAA HAPA NA WEWE
, hata kama hamna pesa huo ni uwekezaji tosha kwenye ndoa yenu.Invest plenty of time with your husband/wife