Naangalia sana status za ma-Ex wangu

Naangalia sana status za ma-Ex wangu

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,064
U know what let me say sio status za whatsapp tuu hata account zao za mitandaoni. Halafu sibagui yani naangaliaga za wote yaani kiufupi naangalia.

Sasa sjui hii tabia ninayo mimi tu ama vipi?

Nikisema nawafatilia nawafatilia kweli, mitandaon tu lakini i never call or text them na nina mahusiano mapya now. Sasa sijui hii ni character au vipi?

And by the way, hivi uwe na mtu kuanzia miezi sita kwenda mbele mmevuana nguo mmecheka, mmespend, mmet**ana halafu eti gafla ujifanya eti umemsahau, mimi nimeshindwa..na sio EX mmoja yaani wote ila wale wa maana tuu sio hit n run hao kwanza hata sura nadhani nimezisahau
 
Utakapokuta siku status imewekwa picha yako na caption

inasomeka "jini mkatakamba huyu alinikondesha sana" ndio

akili itakapo kukaa sawa,sasa hivi endelea tu kuangalia maana

unachokitafuta utakipata tu,watakuweka siku 1 tu ila hzo caption zake sasa..
 
Kwahyo we mkuu huchunguliag status za ma x ...bas sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ex wangu mmoja nna namba yake huwa ananipiga majungu sana (au mimi ndio najistukia) lakini kwa kuwa sikuwahi kumkubali sanaaa ndio maana hata siumii.

Lakini status za wale mamanzi ninaowakubali sanaa halafu tukaachana siwezi kuangalia kamwe..

Kwanza nikiachana na manzi ninaemkubali lazima nifute namba na ale block kabisa..
 
Huwa sinaga mazoea na ma ex tukiachana namuacha jumla sina mda wa kutunza namba zake au kuanza kumfatilia kwny mitandao.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata mimi naangalia, sio kwa ubaya ila naangalia tu coz wengine wamekuwa marafiki tu, wengine tuna hard feelings lakini ndio hivyo.
 
Niliwahi toa Uzi kama huu.

Mm kwa mawazo yangu ni sawa tu kuona au kufuatilia watu wako wa karibu.(ndugu/marafiki).

Kuwa Ex sio uadui.
Na nadhan wengi ambao hawana namba za X zao wana roho mbaya na ndio chanzo cha kuachana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] natania tu .
Ingawa ni ukweli

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sioni umuhimu wa kumiliki namba ya ex

Kuna umuhimu. Ila sio Lazima.
Nadhan hata ww unajua, labda kama una miaka 20s au Ex zako hawana Influence yoyote mjini.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umuhimu haupo

Kwako inaweza kuwa ni Sawa.

Ila Watu hubadilika, MaEx wanapata majanga, MaEx wanapata mafanikio. Nk.

Unahisi ww huna umuhimu wa kuyajua?.

Kiukweli kabisa sioni umuhimu wa kujua kinachoendelea kwa ex....labda itokee nijue kwa bahati mbaya(mtu aniambie),lakini sio mimi kufuatilia kwa namna yoyote ile
 
Kuna mwingine anaangalie za ma former wives zake Kama 4 Niko nae karibu hapa,Kila mke alipata nae mtoto mmoja na watoto wote ni sketi na kawachukua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakapokuta siku status imewekwa picha yako na caption

inasomeka "jini mkatakamba huyu alinikondesha sana" ndio

akili itakapo kukaa sawa,sasa hivi endelea tu kuangalia maana

unachokitafuta utakipata tu,watakuweka siku 1 tu ila hzo caption zake sasa..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kabisa sioni umuhimu wa kujua kinachoendelea kwa ex....labda itokee nijue kwa bahati mbaya(mtu aniambie),lakini sio mimi kufuatilia kwa namna yoyote ile

Mbona unaongelea kama Ex wako wako weng sana!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kiasi kwamba ukijua ni kama umepewa kazi ya kufuatilia kijiji.

Ex wa maana watatu wanne unakosaje kuangalia Status zao.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mbona unaongelea kama Ex wako wako weng sana!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kiasi kwamba ukijua ni kama umepewa kazi ya kufuatilia kijiji.

Ex wa maana watatu wanne unakosaje kuangalia Status zao.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mbona nimeandika kama ex yupo mmoja tu,sidhani kama nilichoandika kinaonesha uwingi
 
Back
Top Bottom