Mwanamke mpe mwanaume kiuno

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
Kuna wanawake wamejaliwa matako wakakosa kiuno. Kuna waliojaliwa kiuno wakakosa tako.

Na Kuna wanawake wenye kuringia matako sasa aloooooyani utasema labla haendi chooni(hawanyi)yani hawa hawajui labla izo Ni stooo tu za...

Huwa najiuliza sasa wanamringishia Nani?(wanaume)Nani alituambia wanatetemekeaga ivi vitu vidogo ivyo? Sana Sana wanatamani tu yani tamaaa inawaka kwa mda huo.
Sa we bibie mringo huo veeeep wakati wapo waliotangulia walikua nayo na wamekufa nayo?

Ngoja niwaambie mwaya Mungu akikujalia chochote kile usiringe nacho ndugu.maisha haya ni mafupi mno tuishi kwa adabu na kujitunza.

Tudhamini na kujali utu wetu.
Tusiringe na maumbile yetuMwanaume haringishiwi tako mpooomwanaume mpe kiuno.tako hata baba analo ndo anakalia.kiuno halooo.ni halali kwa mwanaume.
 
We dada unazidi nikosha waambie hao

lliedie umeona ujumbe huu sasa ole wako uninyime..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜
 
wengine huishia kupark tu wakati wewe upo busy kupiga makasia..hata tusauti twa mahaba hamna...shaaaa inakera mno
 
Usisahau kuifinyia kwa ndani..๐Ÿ˜‰
Nakukumbusha tu mamito the baby la ubani..๐Ÿ˜
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…Yani usijali Leo Ni wewe tu ๐Ÿ™Œ kesho utakuja kutoa mrejesho huku
 
Back
Top Bottom