bishororo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 254
- 358
Habari wakuu
Niko kwenye mahusiano na huyu dada kwa mwàka mzima sasa na tulikuwa tunaishi kama mke na mume ila kiukweli mimi kipato changu kidogo sana na muda wote huo tumeishi kwa furaha na amani.
Japo sometimes ugomvi wa hapa na pale unatokea nina kosa pesa anavumilia tu yani tulikuwa tunapendana. Wiki 2 sasa zimepita toka arudi kwao ananiambia anaolewa na mahari ishatoka japo hamjui bwana vizuri na aliletewa posa tu nyumbni.
So kaamua kukubali eti kisa sina mwelekeo anataka kusaidia wazazi wake. Yaani nahisi kufa, nilikuwa nampenda sana.
Nifanyaje wakuu? Yaani nishaenda mpaka kwao ila msimamo wake haubadiliki sijajua nini kimemsibu au kalogwa?