Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanajamvi nina girlfriend tunapendana sana, tuna miezi kama mitatu sasa mwenzangu ananiforce ndoa nilivomuambia tusubiri akapanic ila baadaye tukaenda sawa. Ila sasa hivi ananambia anafeel...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna binti alikuwa mpenzi wangu, huyu bint baba yake ni kamishna katika jeshi la police, Sasa kuna kipindi tulikorofishana nikamnasa makofi na hata hayakua makofi ya nguvu nilimgusa gusa tu...
10 Reactions
152 Replies
12K Views
Juzi hio ijumaa may 22. Kama kawaida yangu nipo addicted sana na mazoez.. Baada ya kukata wese asubui.. Jion kama kawa lazma nicheze mpila jion ( saa 10) Au kama nimebanwa sana bas huwa nakimbia...
9 Reactions
87 Replies
9K Views
Wakuu, kuna clip ina trend, jamaa analia kisa Rehema. Naomba anaeujua wimbo anisaidie, nimejaribu kuutafuta kwa Shazam, imeshindikana.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini za leo wakuu, natumai mko salama. Wakuu leo nimeamua kuwafichulia siri ya maisha yangu tangia 2017 mpaka leo 2020. Leo hii wakuu nimetimiza miaka minne tangu nisitishe biashara ya...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu heshima kwenu. Niende kwenye somo tajwa hapo juu, leo mishale ya saa tisa alasiri mjini morogoro nilianzia Safar kuja jijini Dsm(jiji la Makonda). Tukiwa tumetoka mwezi mtukufu hata...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Binti abadili dini kutoka uislamu kuingia ukristo huko nchini Uganda kumfuata mchumba wake ambapo baba yake ambaye ni Shekh mkubwa tu alimsindikiza kanisani kumtoa (giving away) ili aolewe na...
8 Reactions
63 Replies
6K Views
Ukikaa ukatafakari matukio uliyokwisha kutana nayo kwa wanawake utaungana na mimi. Hawa watu wanamaajabu mengi na siku zote hawaishiwi maajabu Kuna jambo moja kwangu nataka leo mnisaidie...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Unakuta kijana baada ya kuwa na familia tunaita mama mzazi aje kututembelea kutoka kijijini. Sio wazo baya sana. Ila baba unamuachaje peke yake? Umekuwa agent wa kuwatenganisha. Eti unasema mama...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kumekuwa na majadala mkubwa kuhusu kauli ya Dr. Chrisiona Mauki kwamba wanaume wasioacha kitu nyumbani na kila siku wanatoka asubuhi na kurudi jioni ni wasanii. Kauli hii imeibua mjadala mkubwa...
14 Reactions
25 Replies
4K Views
Ukisikia usemi “ Maskini akipata matako hulia Mbwata” basi mimi ni mfano halisi wa hili, 2010 mwishoni kabisa nikiwa bado bwana mdogo tu, around 20’s na Bahati ikawa upande wangu nikawa tayari...
6 Reactions
37 Replies
5K Views
Nipo baa moja huku Mbezi Beach kwetu njia ya chini inaitwa BUV, tunamshukuru alierudisha maisha yetu mtaani, Mungu Ambariki Basi ni kama watu wamefunguliwa kusini, utadhani huko ndani...
4 Reactions
135 Replies
12K Views
Hali zenu wakuu, Tangu mama mkwe aje kwangu migogoro ya kijinga haiishi. Mara sijamsalimia vizuri, Mara mbinafsi najiwazia mwenyewe, Mara simpi attention inayostahili. Yaani nimekuwa nikiona...
37 Reactions
107 Replies
12K Views
Leo ikiwa ni Siku ya Kimataifa ya 'Hedhi kwa Wanawake' wote walio Hai Mimi naona nami hapa hapa nitoe Ushauri wangu Kwao... 1. Wawe wanazitupa vyema pale wanapomaliza Kuzitumia. 2. Wakiwa katika...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika utafiti ambao hivi karibuni utachapishwa mitandaoni kutoka taasisi moja ya utafiti unaonyesha kua wanawake wengi wanasema kua wanaume kutoka kanda ya ziwa ndio wanaume wanaojua kuhonga...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Je, mnaoishi na wanawake mliowakuta na mtoto wake/zake wa kike mnamudu vipi kuishi nao bila kuingia majaribuni? Au kuwatamani kimapenzi, haswa watoto waliotimiza miaka 18+? Hilo ni swali...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wakuu, bila shaka hamjambo na kheri ya sikukuu ndugu zetu Islamic members over the World. Moja kwa moja kwenye mada. Aisee tusichukulie poa kabisa kuna watu wanateseka sana...
4 Reactions
23 Replies
7K Views
Juzi nilikuwa kijiwe fulani na wazee, wazee wa wawili wakawa wanataniwa na wazee wenzao eti waende kupika. Baadae nikagundua kuwa wale wazee wake zao hawapo wameenda kwa watoto wao hivyo wanaishi...
6 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwenye ndoa ya wake wengi, mwenye mapenzi ya kweli ni mke mkubwa tu. Hawa wengine wako kimaslai tu, ata kama utawatembezea rungu kwa kila staili, wao watalenga maslai au kipato chako tu. Kwa namna...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Watu waliofunga ndoa ndio pekee wana haki ya kulalamika kuhusu usaliti, sio wazinzi wawili waliochanganyikiwa wanaojiita boyfriend na girlfriend. Sijasema msalitiane ila kama ikitokea acha...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom