Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,615
- 38,589
Watu waliofunga ndoa ndio pekee wana haki ya kulalamika kuhusu usaliti, sio wazinzi wawili waliochanganyikiwa wanaojiita boyfriend na girlfriend. Sijasema msalitiane ila kama ikitokea acha kushupaza shingo na kumwaga mapovu kama upo kwenye ndoa ya miaka 20.
Yani tumekutana hatuna hata mwezi tayari tushaanza kukunjana mashati na kumwagiana bia
Yani tumekutana hatuna hata mwezi tayari tushaanza kukunjana mashati na kumwagiana bia