Kwenye ndoa ya wake wengi, mwenye mapenzi ya kweli ni mke mkubwa tu

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,421
40,410
Kwenye ndoa ya wake wengi, mwenye mapenzi ya kweli ni mke mkubwa tu. Hawa wengine wako kimaslai tu, ata kama utawatembezea rungu kwa kila staili, wao watalenga maslai au kipato chako tu. Kwa namna nyingine tunaweza sema ni wachunaji tu. Tusidanganyane kuwa wake wenza upendana, hiyo haipo; kila mmoja anatamani amiliki peke yake.

Kama mabaharia tujihadhari na hili janga
 
Kuna watu mke mmoja tu anawachanganya wanaongea peke yao barabarani wengine wanachelewa hawataki kurudi nyumbani

At the same time kuna wengine wana zaidi ya mmoja mwengine wanne kabisa sasa wote wakiwa visirani daah

Ndo maana wanaume tuna life span ndogo
 
Matatizo mengine wanaume tunatafuta wenyewe
Wanawake ni liability
Ukiwa nao wengi Unatakiwa Uwe na uwezo wakutatua matatizo kila siku
Maana ugomvi hutakaa uishe kwenye nyumba yako

Kwanza Wanawake hawapendani wenyewe
Sasa wewe unaenda kuleta tatizo jingine

Shaur yenu mtajua wenyewe bhana
Kila mtu apambane na maisha yake
 
ha ha ha Kila mtu apambane na maisha yake
 
Haha ni kweli kabisa mkuu matatizo tunajitafutia
Matatizo mengine wanaume tunatafuta wenyewe
Wanawake ni liability
Ukiwa nao wengi Unatakiwa Uwe na uwezo wakutatua matatizo kila siku
Maana ugomvi hutakaa uishe kwenye nyumba yako

Kwanza Wanawake hawapendani wenyewe
Sasa wewe unaenda kuleta tatizo jingine

Shaur yenu mtajua wenyewe bhana
Kila mtu apambane na maisha yake
 
Tusidanganyane kuwa wake wenza upendana, hiyo haipo; kila mmoja anatamani amiliki peke yake.

Ni kosa kubwa kutamani ‘wake zako’ wapendane, na ukiruhusu hilo lifanikiwe basi umekwisha... wajibu wao ni kukupenda wewe na si kupendana wao.

Huwezi kunielewa hapa, sina namna ya kukuelewesha... maisha yafaa nini bila wanawake.?
 
Kwenye ndoa ya wake wengi, mwenye mapenzi ya kweli ni mke mkubwa tu. Hawa wengine wako kimaslai tu, ata kama utawatembezea rungu kwa kila staili, wao watalenga maslai au kipato chako tu. Kwa namna nyingine tunaweza sema ni wachunaji tu. Tusidanganyane kuwa wake wenza upendana, hiyo haipo; kila mmoja anatamani amiliki peke yake.

Kama mabaharia tujihadhari na hili janga
Umesema ukweli kiasi lakini ilo lisikupe shida ata mke mdogo Asipokupenda, kwasababu lengo la ndoa za mke zaidi ya mke 1 ni mwanaume kujitimizia matanio ya mwili wake ili asitende dhambi ya kuzini,
Kwaiyo mkuu wewe chukua mweupe weka ndani, chukua tipwatipwa weka ndani, chukua kipotabo weka ndani mwisho 4 chukua mixer weka ndani utaona kitambiiii ichooo kinakunyemeleaaa
Mke mkubwa ndio kila kitu ukichunguza walioa wake zaudi ya 1 wanapesa yakutosha Kwaiyo hawa wengine ni kwa ajili burudani bila kujali anakupenda au yupo kimaslai wapo kwa ajili yetu
 
Kwenye ndoa ya wake wengi, mwenye mapenzi ya kweli ni mke mkubwa tu. Hawa wengine wako kimaslai tu, ata kama utawatembezea rungu kwa kila staili, wao watalenga maslai au kipato chako tu. Kwa namna nyingine tunaweza sema ni wachunaji tu. Tusidanganyane kuwa wake wenza upendana, hiyo haipo; kila mmoja anatamani amiliki peke yake.

Kama mabaharia tujihadhari na hili janga
Mmeunga hoja ya kupenda vipande vipande.... Baadhi yetu tumekubaliana na Mheshimiwa hakuna namna. Baadhi ya vipande vipo kimaslahi zaidi .... Ni kweli. Tulia Sindano iingie vizuri akili ikae sawa.... Huu Mzani lazima u-balance.....
 
Back
Top Bottom