Habari zenu wanaJF wenzangu, naomba msaada wa kimawazo mimi ni kijana mwaka 2015 nliingia kwenye mahusiano na binti ambaye kwa baadaye nilikuja kugundua kuwa ni ndugu yangu kiukoo yaani baba yake...
Mwezi wa nne nikiwa safarini kutoa Arusha-Dar nilibahatika kukaa siti moja na Binti mrembo kweli kweli,,na alikuwa mchangamfu sana,tulioeana kwa muda mfupi tukapiga story nyingi sanaa...
Habarini wakuu
Kuna mchepuko wangu anataka nimgegede bila kinga. Anasema condom ya nini sasa, yeye anataka nyama to nyama.
Nimemwambia lazima tupime zaidi ya mara moja amekubali na anadai yeye...
Ndugu zangu tunatakiwa kuwa makini kipindi hiki ambacho watoto wapo free majumbani. Kama una watoto ndani basi chunguza kabla hujaondoa chombo cha moto, hasa magari.
Hakikisha chini ya uvungu...
Siamini kilichotokoea jana, kuna mwanamke amenizungusha sana mwezi wa3 huu, nikaona labda nitumie Nguvu ya Shilingi ya Kitanzania mambo yatakaa sawa, nikamualika Lunch akakubali, nikaona nisiongee...
Mimi nina miaka 33 natafuta mchumba/mke mwenye sifazifuatazo.
1. Aliye na hofu ya Mungu.
2. Dini awe Mkristo (born again christian)
3. Awe mtumishi wa umma/mfanyabiashara.
4. Asiye na mtoto.
5...
Naitwa Luca N Lushanga Nipo Geita Natafuta Mpenzi Na baadae Mke Umri Wangu Miaka 26.
Nahitaji Mwanamke Anaejitambua asiwe Mlevi Wa pombe Pia awe Anajua nini Maana ya Mme.
Kwa Mdada Aliyetiari...
Nina msichana nimezaa naye kipindi tunapata mtoto wetu nilikua na hali ngumu sana ya kimaisha ikatokea kipindi mwezi mzima nikashindwa kutoa matumizi mama mtoto wangu alinipeleka polisi nakuniweka...
Assalam alykum
Natafuta mwanamke wa kumuoa awe muislam ana maadili mazuri ya kiislam.
Umri wake kuanzia 23 hadi 30.
Mi ni mwislam umri wangu 30
Nimeajiriwa
Naishi Dar es salam
Aliekuwa tayari...
Wakuu kama mnapitia hii kitu sijui mnawezaje kuishi nao, hamna kitu sipendi kama mwanamke kunichunga chunga kama mbuzi. Eti abiria chunga mzigo, ni kauli ya kujifariji tu
Mimi mtu kuniulizauliza...
Yaani una binti yako mtoto mzuri tu mashallah.
Kwa nyakati hizi, kuliwa ataliwa tu kabla ya chuo. Swala ni bora nani amle?
Aliwe na mtu mzima mwenye ofisi yake na maisha yake ili amkuze na...
Naitwa Iman
Umri miaka 26
Nimejiajiri nb. Mkurugenzi wa Kampuni
Makazi: SHINYANGA
SIFA ZA MSICHANA HUYO
- Awe mkristu
-black beauty
- awe mtiifu
- awe mkweli
-urefu wa kati
-umbo la kati
-...
Kuna msichana ambae nampenda sana pengine hata yeye ni shahidi uhusiano wetu una miezi kama minne hivi tumekuwa tukiwasiliana kwa muda mrefu sana kiasi kwamba muda mwingi alikuwa akiifanya simu...
Love me Till The End.
Pamoja na kuahidiana Mambo mengi na kupendana mpaka kiama changamoto za maisha ziliwatenga. Alisikika baharia mmoja akimweleza mwenzake maswahibu ya mahusiano yake YALIYO...
Salamu wakuu.
Kwakweli hili jambo limeniuma Sana Tena Sana,yaani nimebaguliwa rangi na mbongo mwenzangu Tena akiwa na ujasiri kabisa.
Yeye Ni black beauty Fulani na figure matata na si...
Ninaposema kum-win mwanamke naamaanisha kumfanya akukubali, kama ni mtoto mu-win mama. Kama ni mume mu-win mke, kama uko kwenye ndoa mu-win mama mkwe
Kama ni mfanyakazi mu-win mke wa bosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.