Mimi ni kijana wa kiume ambaye nipo kwenye mahusiano na binti wa kabila X. Binti anaupendo kwa kweli na anajua kupenda haswa ila changamoto iliyopo wazazi wangu kila nikikaa nao wananionya sana...
Direct to the point
Kumekuwa na nyuzi nyingi humu ziliezea janga la wanawake wanapenda kwenda 0712... Na wimbi hili limeongezeka kwa Kasi hasa kwa Taifa letu pendwa Tz nachukia sana huu usodoma...
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya.
Kiukweli...
Just like a warm hug on a cold rainy day, a compliment when you are feeling down or a heartfelt present: falling in love is one of the few pleasures of this cold world. It can be as blissful as it...
Iko hivi:
Nina mchepuko ambao tuna miezi kadhaa sasa ila sijawahi kumuonesha kwangu, kwa upande wangu Nina mke na watoto wawili.
Kwa wiki kadhaa nipo mkoa tofauti na familia yangu, na Leo mpaka...
Samahanini kwa mada yenye ukakasi kiasi! ila ninashangazwa na kufadhaika!
Mchumba anatoa mashuzi mno....yaani mno! akilala kidogo tu tatizo linaanza mpaka anapoamka. unaweza kumuamsha na kuzuga...
Miaka mingi iliyopita kidogo baada ya kuhitimu chuo, nilianza kutafuta ajira za hapa na pale..kutokana na ufinyu wa ajira nilitafuta shule moja nikawa nafundisha kwa hapa Dar es salaam. Baada ya...
Searching for a rundown of extraordinary spouse characteristics? Possibly you're a young lady who needs to encapsulate these characteristics for your beau, or perhaps you're a sweetheart prepared...
We mrembo, unatabia nzuri, kila mahali ukipita watu wanakusifia, lakini mahusiano ni ziro. Unafikiri ni kwa nini uliachwa na mpenzi wako wa kwanza?
===
Unaweza pia ulikuwa handsome una tabia...
Leo asubuhi kwenye mishale ya saa Tano (5 )na nusu " nilipokea simu toka kwa Mmoja wa rafiki zangu wakaribu (Joph) sio jina halisi. Ajabu ni kwamba alikuwa amenipigia na namba ngeni tofauti na ile...
Wasalaam wadau wa humu, sina mengi Leo naomba niende moja kwa moja kwenye dhumuni.
Kuna chaliangu ana mpenzi wake saiv wana miaka miwili katika mahusiano na wanaaminiana sana. Sasa Jana dem...
Rejea mada tajwa hapo juu,
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwa nini sivutiwi na wanawake mnaowaita warembo! Kwanza wengi wao kichwani siyo wazuri sana faragha ndo kabisaaaa!
Sijui wenzangu...
WANAUME TUNAMARAFIKI WAZURI SANA KULIKO WANAWAKE...
Mume na Mke walibishana kila mmoja akijigamba kuwa ana rafiki mzuri. Ili kumaliza ubishi, wakaamua kuwapigia Marafiki zao kwa loud speaker...
Natumai hamjambo wakuu na weekend inaendelea uzuri.
Tukiwa tunaendelea kuliombea taifa dhidi ya corona, karibuni hapa tubadilishane mikasa ya mapenzi ilosababisha kufail/kufanya vibaya wakati...
Nakumbuka enzi hizo nilikuwa nateseka kupata mtu halafu nakashifiwa na sio mimi tu baadhi ya wadada humu ila nikija fikiria nilikuwa napigana humu ndani kama napigania uhuru haswa sijajua kama...
Si mara zote uhusiano wa ndoa ni matokeo ya upendo kama inavyotarajiwa. Yapo mahusiano mengi tu ya ndoa ambayo kimsingi ni arrangements za watu kujipatia mahitaji mengine kabisa yasiyohusiana na...
Ni kwamba 99% ya Wanawake Wanaotongozwa kwa Kudanganywa na Wanaume huwa wanawakubali haraka sana lakini pia 99% ya Wanaume ambao huwa wakiamua kuwa Wakweli kwa Wanawake pale wakiwa Wanawatongoza...
Wakati uliopita niliandika uzi ambao ulikuwa unaelezea kuhusu mwanaume anayetumiwa na anayependwa na niliahidi kuandika pia kuhusu upande wa wanawake pia.
Kwa wanawake ni hivi;
MWANAMKE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.