Wanaume tukumbuke kuoa wake wengi

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,821
11,527
Juzi nilikuwa kijiwe fulani na wazee, wazee wa wawili wakawa wanataniwa na wazee wenzao eti waende kupika. Baadae nikagundua kuwa wale wazee wake zao hawapo wameenda kwa watoto wao hivyo wanaishi peke yao.

Hili suala limenifikrisha sana nimeona Kuna haja ya mwanaume kuwa na wake kuanzia wawili, maana kumekuwa na hulka ya wa mama kwenda kwa watoto wao, huku nyuma anakuacha unapigwa na baridi na kujipikia mwenyewe, ukiwa na wake wawili mmoja akiondoka unapata msaada kwingine maana hii tabia ya wamama kwenda kwa watoto wao Imekuwa too much Sasa yaani anaweza kukaa huko hata miezi kadhaa bila kujali amemuachaje mme wake.

Lakini pia faida ya kuoa wake wawili na kuendelea kunapunguza stress, maana ukiwa wanawake wengi mmoja akikufanyia gubu unapata comfort kwa mwingine.

Ndio maana walioa wanawake wengi wanaishi miaka mingi sana.
 
baba yangu alikuwa na ng'ombe 600

akaoa wake wanne na akawa-maintain kwa uwezo mkubwa bcoz alikuwa na mali hizo (ng'ombe, mashamba)

Je kwa sasa hali ikoje?

kumiliki wanawake wanne, uko hapa Dar unapaswa uingize walau milioni kipato cha Tsh milioni 2 monthly ili familia 4 ziishi vizuri
 
Kuoa wake wengi ni mzigo
Just serve yo self...when in needs.

Lonely uzeeni is a destiny
 
Mimi sijaoa ila ninapika mwenyewe kwahyo nikioa akaondoka ntapika mwenyewe pia... Kitu kingine kizuri nikua sikaagi kijiweni kwahyo sitataniwa
👦😂😁😂😀
 
naungamkono hoja asee.lazima tuwatunze hawa viumbe tuwahudumie vizuri.ukiwezakuoa wake kuanzia wawili ama watatu na ukawahudumia vizuri umemkomboa mwanamke kupigwa mashine ovyo na kilamtu.
hii mada naidhamini tsh 10k kupitia mfuko maalum wa chama cha uvinza
 
Juzi nilikuwa kijiwe fulani na wazee, wazee wa wawili wakawa wanataniwa na wazee wenzao eti waende kupika. Baadae nikagundua kuwa wale wazee wake zao hawapo wameenda kwa watoto wao hivyo wanaishi peke yao.

Hili suala limenifikrisha sana nimeona Kuna haja ya mwanaume kuwa na wake kuanzia wawili, maana kumekuwa na hulka ya wa mama kwenda kwa watoto wao, huku nyuma anakuacha unapigwa na baridi na kujipikia mwenyewe, ukiwa na wake wawili mmoja akiondoka unapata msaada kwingine maana hii tabia ya wamama kwenda kwa watoto wao Imekuwa too much Sasa yaani anaweza kukaa huko hata miezi kadhaa bila kujali amemuachaje mme wake.

Lakini pia faida ya kuoa wake wawili na kuendelea kunapunguza stress, maana ukiwa wanawake wengi mmoja akikufanyia gubu unapata comfort kwa mwingine.

Ndio maana walioa wanawake wengi wanaishi miaka mingi sana.
Kweli kabisa, Mke mmoja hatoshi kabisa....
 
Mimi sijaoa ila ninapika mwenyewe kwahyo nikioa akaondoka ntapika mwenyewe pia... Kitu kingine kizuri nikua sikaagi kijiweni kwahyo sitataniwa
👦😂😁😂😀

Hapo mheshimiwa umeamua tu kuficha kichwa uvunguni huku miguu na kiwiliwili chote kikiwa nje. Tatizo bado litabakia palepale.
 
Mimi sijaoa ila ninapika mwenyewe kwahyo nikioa akaondoka ntapika mwenyewe pia... Kitu kingine kizuri nikua sikaagi kijiweni kwahyo sitataniwa
Ukiwa hujaoa ni kawaida sana ila ukioa mambo hubadilika ghafla
 
Juzi nilikuwa kijiwe fulani na wazee, wazee wa wawili wakawa wanataniwa na wazee wenzao eti waende kupika. Baadae nikagundua kuwa wale wazee wake zao hawapo wameenda kwa watoto wao hivyo wanaishi peke yao.

Hili suala limenifikrisha sana nimeona Kuna haja ya mwanaume kuwa na wake kuanzia wawili, maana kumekuwa na hulka ya wa mama kwenda kwa watoto wao, huku nyuma anakuacha unapigwa na baridi na kujipikia mwenyewe, ukiwa na wake wawili mmoja akiondoka unapata msaada kwingine maana hii tabia ya wamama kwenda kwa watoto wao Imekuwa too much Sasa yaani anaweza kukaa huko hata miezi kadhaa bila kujali amemuachaje mme wake.

Lakini pia faida ya kuoa wake wawili na kuendelea kunapunguza stress, maana ukiwa wanawake wengi mmoja akikufanyia gubu unapata comfort kwa mwingine.

Ndio maana walioa wanawake wengi wanaishi miaka mingi sana.
Ukiona mke anasahau mume anaona heri akakae kwa wanawe ujue mume kimeo kinamtesa
 
Back
Top Bottom