mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,061
- 4,848
Je, mnaoishi na wanawake mliowakuta na mtoto wake/zake wa kike mnamudu vipi kuishi nao bila kuingia majaribuni? Au kuwatamani kimapenzi, haswa watoto waliotimiza miaka 18+?
Hilo ni swali aliloniuliza kijana (jina kapuni).
Tumpe ushirikiano wa majibu sahihi kwenye hili. Ndugu yetu yupo kwenye wakati mgumu kweli.
Hilo ni swali aliloniuliza kijana (jina kapuni).
Tumpe ushirikiano wa majibu sahihi kwenye hili. Ndugu yetu yupo kwenye wakati mgumu kweli.