Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamaangu mmoja ana mchumbake ila sasa ni kama hawaelewani kwenye suala la kuzaa..jamaa sasa ana 30yrs old anataka mtoto na msichana ndio kwanza yuko college..na shori kakomaa anasema yeye atazaa...
0 Reactions
86 Replies
11K Views
Teknolojia imekua, na mambo mengi yanafanyika kutokana na ukuaji huo wa teknolojia ili kurahisisha mambo. Kwa upande wa uhusiano, unaweza kutafuta mchumba popote pale duniani na mkaonana kwa...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Nina mpenzi, Ninakaa naye kuanzia mwaka Jana,Tatizo la mpenz wangu huyu, licha ya kumuandaa dk 15, lakn tukiingia kwichikwichi inaweza kuchukua nusu saa nzima ndo aseme amefika kileleni, Na hapo...
2 Reactions
91 Replies
16K Views
Ni kiasi gani kikubwa ulichowai kuhonga?huenda kikawa kidogo ila kinathamani kubwa sana kwako! Naamini kuonga siyo dhambi ila ni mapenzi tu. Nakumbuka niliwai kuhonga simu,kumsomesha,kuwasaidia...
2 Reactions
64 Replies
8K Views
Wakuu mlishawahi kusikia, watu wakisema fulani amefanana na mkewe/mumewe? Ile inatokana na nguvu za nafsi zao kupendana, na kila mmoja kumhisi mwenzake ndio chaguo sahihi. Na hata katika maisha...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Swalama wanajamvi, baada ya kuongea na jamaa zangu kadhaa nimegundua wanaume wengi kwenye ndoa hawako na net positive, hapa namaanisha ndoa ni kama biashara yaani kuna mapato na matumizi sasa...
10 Reactions
66 Replies
8K Views
Hivi ni kweli mtandaoni unaweza ukapata mke au mchumba aliye serious? Na kama kweli JF ni sehemu gani unaweza ukapata.
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari za weekend ndugu zangu poleni na mihangaiko pamoja na hii changamoto ya covid- 19 kama title inavosema Mimi Ni mhanga wa kufiwa na Mama yangu mzazi nikiwa katika umri wa miaka 11 tu nikiwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mie ninachouliza ni fence ile kwa mbele ni vyuma vya kuagizwa toka USA au China?
3 Reactions
56 Replies
6K Views
Wakuu mambo vipi Daah kuna mshikaji wangu naishi naye geto moja, geto ni langu, shida yake, vitu vyake hataki ku share, ila vyangu yupo fasta kuvitumia. Vitu vyake anaficha balaa, ataki niguse...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, naomba msaada wa kimawazo mimi ni kijana mwaka 2015 nliingia kwenye mahusiano na binti ambaye kwa baadaye nilikuja kugundua kuwa ni ndugu yangu kiukoo yaani baba yake...
4 Reactions
66 Replies
8K Views
Mwezi wa nne nikiwa safarini kutoa Arusha-Dar nilibahatika kukaa siti moja na Binti mrembo kweli kweli,,na alikuwa mchangamfu sana,tulioeana kwa muda mfupi tukapiga story nyingi sanaa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini wakuu Kuna mchepuko wangu anataka nimgegede bila kinga. Anasema condom ya nini sasa, yeye anataka nyama to nyama. Nimemwambia lazima tupime zaidi ya mara moja amekubali na anadai yeye...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Ndugu zangu tunatakiwa kuwa makini kipindi hiki ambacho watoto wapo free majumbani. Kama una watoto ndani basi chunguza kabla hujaondoa chombo cha moto, hasa magari. Hakikisha chini ya uvungu...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Siamini kilichotokoea jana, kuna mwanamke amenizungusha sana mwezi wa3 huu, nikaona labda nitumie Nguvu ya Shilingi ya Kitanzania mambo yatakaa sawa, nikamualika Lunch akakubali, nikaona nisiongee...
18 Reactions
114 Replies
11K Views
Natafuta mume muislam anayetokea Tanga, miaka 35_45, mimi ni mwajiriwa.
1 Reactions
43 Replies
12K Views
Mimi nina miaka 33 natafuta mchumba/mke mwenye sifazifuatazo. 1. Aliye na hofu ya Mungu. 2. Dini awe Mkristo (born again christian) 3. Awe mtumishi wa umma/mfanyabiashara. 4. Asiye na mtoto. 5...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naitwa Luca N Lushanga Nipo Geita Natafuta Mpenzi Na baadae Mke Umri Wangu Miaka 26. Nahitaji Mwanamke Anaejitambua asiwe Mlevi Wa pombe Pia awe Anajua nini Maana ya Mme. Kwa Mdada Aliyetiari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina msichana nimezaa naye kipindi tunapata mtoto wetu nilikua na hali ngumu sana ya kimaisha ikatokea kipindi mwezi mzima nikashindwa kutoa matumizi mama mtoto wangu alinipeleka polisi nakuniweka...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Assalam alykum Natafuta mwanamke wa kumuoa awe muislam ana maadili mazuri ya kiislam. Umri wake kuanzia 23 hadi 30. Mi ni mwislam umri wangu 30 Nimeajiriwa Naishi Dar es salam Aliekuwa tayari...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…