A British man was jailed Tuesday for raping two of his daughters and fathering nine children over 27 years, a case with echoes of Austria's Josef Fritzl.
The two daughters were made pregnant 19...
Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 inatamka wazi kwamba 'Mtu hatachapisha, kutengeneza, kuonyesha au kuagiza kuchapishwa, kuendeshwa au kuonyeshwa picha au taswira ya mtoto au mtoto aliyefariki...
Jamani najua kuna Corona but nilitolewa out mahali na kazi yangu ni umbea.
Sasa tulikuwa tumekaa angle ambayo kila mtu anaingia unawaona. Sasa hata mtu akipanda ana kushuka kwenye gari tunaona...
Habari wakuu.
Poleni kwa majukumu ya kila mara japo Mauki katuchoresha vidume.
Niende kwenye mada.
Iko hivi tangu niishi na mwenzangu yapata miaka minne sasa. Kabla ya kuingia kwenye ndoa rasmi...
habar wana jamvii?
Mimi nafanya kazi kampuni flani.so hua nakaa huko huko.ila mara chache ninakuja kulala mjini.Ambapo mjini nalala kwa mpenzi.niko nae kwa muda wa miaka 3 sasa.mimi na yeye tuko...
Kwa asilimia kubwa tunapofanya mapenzi wanawake ndio hu-enjoy kuliko sisi wanaume kwa upande wa mwanaume ana enjoy tu ule mshindo wa kwanza kilichobaki ni kutafuta kila mbinu za kumridhisha...
UNACHUKUA HATUA GANI UNAPOMKOSEA MPENZI WAKO?
Kwenye maisha hakuna binadamu mkamilifu, kila mtu anamadhaifu yake, madhaifu haya ndiyo husababisha watu kutofautiana, kukoseana.[emoji144]. Unafanya...
Rafiki zangu, nazungumza juu ya kauli ambazo zina ishara mbaya kwenye uhusiano. Wakati mwingine unaweza kumsikia mpenzi wako akikuambia maneno ya ajabu sana, lakini usielewe maana yake ni nini...
Jamaangu mmoja ana mchumbake ila sasa ni kama hawaelewani kwenye suala la kuzaa..jamaa sasa ana 30yrs old anataka mtoto na msichana ndio kwanza yuko college..na shori kakomaa anasema yeye atazaa...
Teknolojia imekua, na mambo mengi yanafanyika kutokana na ukuaji huo wa teknolojia ili kurahisisha mambo. Kwa upande wa uhusiano, unaweza kutafuta mchumba popote pale duniani na mkaonana kwa...
Nina mpenzi,
Ninakaa naye kuanzia mwaka Jana,Tatizo la mpenz wangu huyu, licha ya kumuandaa dk 15, lakn tukiingia kwichikwichi inaweza kuchukua nusu saa nzima ndo aseme amefika kileleni,
Na hapo...
Ni kiasi gani kikubwa ulichowai kuhonga?huenda kikawa kidogo ila kinathamani kubwa sana kwako!
Naamini kuonga siyo dhambi ila ni mapenzi tu.
Nakumbuka niliwai kuhonga simu,kumsomesha,kuwasaidia...
Wakuu mlishawahi kusikia, watu wakisema fulani amefanana na mkewe/mumewe?
Ile inatokana na nguvu za nafsi zao kupendana, na kila mmoja kumhisi mwenzake ndio chaguo sahihi. Na hata katika maisha...
Swalama wanajamvi, baada ya kuongea na jamaa zangu kadhaa nimegundua wanaume wengi kwenye ndoa hawako na net positive, hapa namaanisha ndoa ni kama biashara yaani kuna mapato na matumizi sasa...
Habari za weekend ndugu zangu poleni na mihangaiko pamoja na hii changamoto ya covid- 19 kama title inavosema
Mimi Ni mhanga wa kufiwa na Mama yangu mzazi nikiwa katika umri wa miaka 11 tu nikiwa...
Wakuu mambo vipi
Daah kuna mshikaji wangu naishi naye geto moja, geto ni langu, shida yake, vitu vyake hataki ku share, ila vyangu yupo fasta kuvitumia.
Vitu vyake anaficha balaa, ataki niguse...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.