Habari wana JF,
Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija...
Habari zenu,
Leo ningependa kuwalaelezea kidogo kuhusu mada hii ya mapenzi, Usaliti na Kisasi.
Naam,sote tunaelewa mapenzi ni nini, ila je umeshawahi kujiuliza uhusiano uliopo baina yako na...
WENGI wakiwaza kuhusu kufunga ndoa, mawazo yao huenda moja kwa moja kwenye namna sherehe ya harusi itakavyokuwa! Anataka gari kali la maharusi, ukumbi wa gharama, vyakula vya bei mbaya, wasanii...
Hivi umeshawai kumwona mtu ukampenda ghafla kupita kiasi? Toka weekend iliyopita nimejikuta mwenye mahudhurio yaliyotukuka kwenye bar moja huku kwetu sababu ya bintu mmoja maid hapo bar.
Anasura...
PDA-Mwanamama Kara King,aliandika kitabu cha ,If Men are Dogs ..This Is Animal Control. The Power Of The Pussy ,How To Get What You Want From Men:Love ,Respect ,Commitment ".
Ukurasa wa 61...
Habari za humu wanajamii.
Najua huku wapo watu wa aina mbalimbali walioolewa na wale ambao bado na kwa namna moja au nyingine wanahitaji wapate wenza wao kupitia huku au hata kwingineko.
Binafsi...
Habari wadau!
Kuna tatizo ambalo lipo humu JF Ila wengi hawawezi kuona kama ni tatizo usipotizama kwa usahihi. Kumekuwa na ongezeko la VIJANA wake kwa waume KUTAFUTA WACHUMBA kupitia mitandao ya...
Habari zenu wanaJF
Ni kwa muda mrefu sijaweka bandiko humu jamvini takribani robo mwaka sasa.
Tukiachana na hilo,nimebahatika kupata kasichana kabichi kabisa yani kama embe bichi la kulia na...
Salaam kwenu wajomba na ma shangazi,
Ujumbe huu uwafikie wanaume wote wawe ni wa Dar au ni wa wapi uko. Wanaume tuache kupenda mteremko, tuache tamaa za kutaka wanawake warembo kirahisi rahisi...
KAMA WEWE NI MWANANDOA AU UNATARAJI KUINGIA KATIKA NDOA SIKU MOJA.
SOMA HII👇
👉kudumu kwa #Ndoa kunategemeana na nani umemchagua kuingia nae katika #Ndoa. Endapo utaingia katika #Ndoa na mwanamke...
Huu ni mtandao wa jamii na kazi yake ni kuelimisha jamii.
Kuna hii tabia imeibuka ya ufanywaji mapenzi kinyume cha maumbile. Dunia imeharibika hii sio mchezo. Asilimia kubwa ya wanawake...
Habarini wana MMU,
Nitafupisha sana
Kama ilivyo kwa wanaume,wana wake pia ni wadau wakubwa tu wa video/mikanda ya ngono.Ikumbukwe kua hii kitu ni addictive in nature(kwa jinsia zote) na...
Wasalaam.
Tusemezane kidogo,
Hii inawahusu sana wadada/wanawake lakini wanaume wenzangu tunaweza kujifunza kitu pia.
"Samahani",
Neno lenye herufi nane lakini lenye maana kubwa sana...
Wakuu habari za wakati huu.
Basi, ikiwa ni hatua za kibinadamu kupita katika nyakati kadhaa, kwenye kila nyanja kuna changamoto.
Wazee wa kusaka nyapu, tumewahi fumaniwa au kufumania.
Binafsi...
Natumai hamjambo wanajamvi.
Wanawake hasa walio kwenye ndoa wana haka katabia, ikitokea mwanamke akataka game mwanaume hajisikii mwanamke huchukia sana na hupelekea kulipiza kisasi siku ukimtaka...
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya.
Kiukweli...
Habari za wakati huu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate.
Nisipoteze muda sana katika hiki kipenge kinawahusu kina dada huu ni waraka kwenu
Mara ya sita sasa hii nimekutana na wadada sehemu...
Natumaini wote ni wazima wana MMU,
Kama miezi 2 hivi iliyopita alikuja mama 1 wa makamo na mume wake ofisini kwangu walikuwa na matatizo nikawasaidia.
Mwishoni yule mama nikampa namba kama ana...
Mwanaume aliyezoea mapenzi kinyume na maumbile atakua radhi kutembea hata na wanaume wenzake
Mzuka humu ndani?
Basi leo nakuja hili jambo na kwanza samahanini sana kwa ambao mtakwazika na hii...
Nimeona ndoa nyingi na nimesikia mengi kuhusu ndoa. Kwa sehemu kubwa wengi hawana furaha na maamuzi yao ya kuoa au kuolewa.
Kabla ya ndoa , mioyo ya wengi uwa wanaamini mwenza wake ni chombo Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.