Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 28,811
- 39,019
Wakuu mlishawahi kusikia, watu wakisema fulani amefanana na mkewe/mumewe?
Ile inatokana na nguvu za nafsi zao kupendana, na kila mmoja kumhisi mwenzake ndio chaguo sahihi. Na hata katika maisha yao wanakuwa hawachepuki, wala hawatengani, hata migogoro ya hapa na pale inakuwa haipo. Akiugua mmoja awe mke au mme, mwenzake lazima nafsi imuume na ikitokea mmojawapo akafariki, mwenzake hawezi kuchukua muda mrefu au miaka mingi bila kufariki. Hii ni Kutokana na kuishi muda mrefu pamoja, pamoja na nafsi zao kuungana inapelekea muonekano wa sura zao kufanana. Na hata wakiwa wazee, wote upenda kutembea pamoja. Kibaharia tunasema ni mtu na pacha wake.
Je, wewe na huyo uliyenaye ni pacha wako?