Wenye watoto wadogo...

Wenye watoto wadogo...

for life

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
3,396
Reaction score
4,447
Ndugu zangu tunatakiwa kuwa makini kipindi hiki ambacho watoto wapo free majumbani. Kama una watoto ndani basi chunguza kabla hujaondoa chombo cha moto, hasa magari.

Hakikisha chini ya uvungu hakuna kitu, washa chombo chako kaa kwa sekunde kadhaa ili kumpa mda alioko chini atoke, kuna mifugo pia hupenda kimvuli.

Ni swala la kukumbushana tu, Mungu awajalie kila lenye kheri katika kufunga week
 
Back
Top Bottom