Msaada Jamani: Mpenzi wangu anachelewa sana kufika kileleni

MAGACHA

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
1,042
2,000
Nina mpenzi,
Ninakaa naye kuanzia mwaka Jana,Tatizo la mpenz wangu huyu, licha ya kumuandaa dk 15, lakn tukiingia kwichikwichi inaweza kuchukua nusu saa nzima ndo aseme amefika kileleni,

Na hapo ili afike huko kileleni muda huo mnafanya kwichikwichi, anajisugua kisimi na Mimi namnyonya matiti, kama dk 30, ndo anakuambia tayari

Siku zingine nikiwahi ananichukia, ananitishia kuniacha, na anakuwa anahitaji kila muda, hasa siku za weekend hata mchana hataki niende mtaani anataka tulale tu,

Jamani nifanyejee,au nimuache
 

Agustino87

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
5,595
2,000
Sijui hata nikushaurije maana hata Mimi nilikuwa na demu mshamba kweli. Yeye siku nzima ni kushinda na kanga tu na kila saa alikuwa anataka tusex,nilipokuwa nakataa anatishia kwenda kwao. Nikaja kuona ni upuuzi nikamtema.
 

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,689
2,000
Mkuu humridhishi vema ndo mana wakati mnafanya anasugua kisimi.HUENDA UNA KIBAMIA.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom