Anakataa kuzaa, eti mpaka baada ya kumaliza Masters!

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Jamaangu mmoja ana mchumbake ila sasa ni kama hawaelewani kwenye suala la kuzaa..jamaa sasa ana 30yrs old anataka mtoto na msichana ndio kwanza yuko college..na shori kakomaa anasema yeye atazaa mpaka ahitimu masters ambayo kama kuipata ni baada ya miaka minne 4.

Mna mshaurije huyu jamaa na mchumbake?
 
Mimi nimemshauri wakati akimsubiria bibie amalize masters yake na yeye anahitaji mtoto basi atafute wa kumzalia na wakubaliane na bibie......maana naona jamaa ananyanyaswa...
 
Wakubaliane kuachana, kwani inaonekana wana mielekeo tofauti, huyu mwingine anamind kuzaa na mwingine kusoma.

Akimaliza masters na kusema anataka kufanya PhD?
 
Mimi nimemshauri wakati akimsubiria bibie amalize masters yake na yeye anahitaji mtoto basi atafute wa kumzalia na wakubaliane na bibie......maana naona jamaa ananyanyaswa...

kwani uyo jamaa ameambiwa akifikisha miaka 35 hataweza kuzaa tena? angekuwa mwanamke ningeelewa.

Kama hawawezi kuelewana kwa suala dogo kama hilo, je wakiingia kwenye ndoa itakuwaje

By the way wanatakaje mtoto na huku hawajaoana?
 
Akimaliza masters na kusema anataka kufanya PhD?
sawa sawa na mie nilimwambia hicho kitu.....shori anasema anataka maisha mazuri yaani akiwa na masters yeye kwake ndio atakuwa na maisha mazuri....wakati jamaa atakuwa keshakuwa kijeba......

......kitu kingine hawa wanawake hawaelewi jambo moja kuwa as siku zinavyozidi kwenda wanazidi kuchoka am sure after masters hatakuwa na mvuto kama alionao sasa hivi....
 
atafute mke wa kuoa amzalie, asitake kuoa degree hilo ndio kosa la watu wengi wasomi.. wanaoa degree si mwanamke, matokeo inajengwa familia ya ajabu.
 
Halafu ushahidi wa kisayansi unaonyesha kwamba watoto wanaozaliwa na kinamama wakubwa sana - late thirties and on - wana nafasi kubwa ya kuzaliwa na matatizo kama ya autism na mengine.

Hili analijua nalo?
 
kwani uyo jamaa ameambiwa akifikisha miaka 35 hataweza kuzaa tena? angekuwa mwanamke ningeelewa.
mkuu ni mipangilio ya jamaa akifikisha umri fulani aachane na kuzaa.....imagine unazaa una 40 huyo mtoto atakuita baba au babu? pia kumbuka life expactancy ya mtanzania ni miaka 37 kama sijakosea....

By the way wanatakaje mtoto na huku hawajaoana?
suala lilikuwa ndoa+mtoto.....
 
hapa nakusanya ushauri wenu ili nikam samaraizie jamaa......
 
Mshauri Rafiki yako amuoe mchumba wake kwanza na baadaye ndio afikirie kupata Mtoto..Wasichana wengi sasa hivi wanaogopa mtego wa kuzaa kabla ya ndoa!
 
Ndiyo madada hao. Kila kitu mwanamke lazima abembelezwe ndiyo akubali. Kuanzia kumapproach mpaka mambo mengine. Hapo ana only two options.
1.Kampenda sana na amngojee
2.Kama hata weza kuvumilia asipoteze muda aende kwa mwingine. Because by the sound of it time is on the girl's side.

Mimi nashauri watu wasiwe in a committed relationship na mtu ambao wamepishana kimaisha unless wamependana kweli. SIyo mtu upo chuo unamsubiria binti wa high school amalize au mtu kama huyo jamaa wako ana 30 anakua na uhusiano na mtu ambae sijui ndiyo kwanza yuko degree ya kwanza. Mambo ya kuoana watu mumepishana miaka 10 sijui yamesha pitwa na wakati. Tell your bro to wait or move on.
 
Yoyo mbona hii thread nayo kama ile ya yule jamaa aliyekuja na 'Liyumba kunywa maji?'(Joke)
Mwambie mshkaji hakuna jibu la moja kwa moja kumwambia mpenzio sitaki au sijisikii kuzaa na wewe,ila amejibiwa kiutu uzima.Kama vipi atafute tu mtu watakaefanana mawazo ya kuamua kuzaa sasa maana huyo dada anaweza kumpotezea mda tu,akishamaliza masters ataleta sababu nyingine au lah kabla hata hajafika huko akambwaga njianialafu iwe imekula kwake.
 
Kama huyo jamaa yako kampenda huyo msichana mie naona bora awe na subira, asubiri mpenzi wake amalize masters then ndio amuoe. Watu wanasubiri miaka 10, halafu yeye hiyo miaka 4 wala sio mingi, maana baada ya 4 years yeye atakuwa na 34 ambao ndio muda muafaka hapo kwa kuoa na kuwa na watoto.
 
Huyo bibie ana lake jambo, anaweza kuzaa sasa na kuendelea na masters yake pasipo shaka wala tatizo. Ajue tu jinsi ya kutegesha ili aweze kuzaa wakati wa moja ya likizo zake...! subiri subiri yaumiza matumbo
 
Jamaa’ngu mmoja ana mchumba’ke ila sasa ni kama hawaelewani kwenye suala la kuzaa…..jamaa sasa ana 30yrs old anataka mtoto na msichana ndio kwanza yuko college…..na shori kakomaa anasema yeye atazaa mpaka ahitimu masters ambayo kama kuipata ni baada ya miaka minne 4….
…mna mshaurije huyu jamaa na mchumba’ke…...

Jamaa yako inaonesha anakuwa mgumu sana kusoma alama za nyakati..Kwa kifupi huyo shori hamzimii msela kiivo na ndio maana jamaa anapomletea mambo ya kuzaa sijui kutotoa..anamchek kidaini huku moyoni akijisemea ' huyu vipi!!? '

Mi nawajua sana mademu mazee, akiwa hakuzimii na wala haoni future na wewe ataleta gunia la visingizio..Kwa kifupi shori ameegesha tu kwa mshikaji kujikinga mvua na mvua ikiisha anatambaa..
 
kwa kweli hata mimi nimewaza hivyo hivyo.kuzaa na kupata masters mbona sipati connection!!!
 
akifunga ndoa tu, tayari atapata mtoto.vinginevyo hana nia thabiti na binti.
 
Jamaa’ngu mmoja ana mchumba’ke ila sasa ni kama hawaelewani kwenye suala la kuzaa…..jamaa sasa ana 30yrs old anataka mtoto na msichana ndio kwanza yuko college…..na shori kakomaa anasema yeye atazaa mpaka ahitimu masters ambayo kama kuipata ni baada ya miaka minne 4….
…mna mshaurije huyu jamaa na mchumba’ke…...

Mkuu huyo rafikiyo na muda gani kwenye mahusiano na mchumnake!!?kama ni muda mrefu basi rafikiyo amekuwa muongo kwa mchumbaye kwa kumdaganya kwa muda mrefu na ndo maana hamwamini tena.au kama si hivyo basi huyo mchumba ana mtu mwingine ambaye anataka kumzalia na si huyo mwenye uchumba sugu.

ninavyofahamu huwezi kuzaa na mtu uchumbani ndo maana mwenzie anampa sababu ambazo ni zakumkatisha tamaa.
kikubwa tu atafute mtu mwingine wa kumzalia siye huyo tena.

tatizo wanaume wanakuwa waongo!!kwa nini anizalishe uchumbani????????
 
sawa sawa na mie nilimwambia hicho kitu.....shori anasema anataka maisha mazuri yaani akiwa na masters yeye kwake ndio atakuwa na maisha mazuri....wakati jamaa atakuwa keshakuwa kijeba......

......kitu kingine hawa wanawake hawaelewi jambo moja kuwa as siku zinavyozidi kwenda wanazidi kuchoka am sure after masters hatakuwa na mvuto kama alionao sasa hivi....

Yo yo acha kuwa na mtazamo finyu! suala la huyo dada kusoma ni suala la mtu binafsi na future yake (ni maisha ya mtu hapa unazungumzia) na kati ya vitu ambavyo mimi binafsi sipendi kuingiliwa ni pamoja na maisha yangu binafsi, to me my first priority is me & myself! siwezi kuruhusu eti mchumba alazimishe kuharibu mipangilio yangu eti kisa mtoto, wakati majority hata si waaminifu, wewe utakatisha mambo yako kisa mimba na mtoto, yeye huku akiwa kakutia mimba still anaendelea na mambo yake kwani habebi tumbo wala hanyonyeshi, yeye anapata PhD, wewe ndio unaanza kurudi kwenye masters, then kesho aseme hukusoma kama yeye, mara akuletee watoto wa nje. Mie ningemuona hy dada namwambie akomae na msimamo wake, huyo mume akiona anchelewa mbona visichana vya x-std 7 ambavyo havina wazo laolote la kuendelea hata na kozi ya ushonaji viko kibao tu mtaani, atafute kamoja aoe ili azae hata 10 akitaka! halafu mke wa ndoa usijali ana mvuto gani ukitaka mivuta tafuta machangu hao alwayz wana mvuto! mambo ya kuangalia sura na shepu hata kama mke mwenyewe mzigo yamepitwa na wakati kaka! get up
 
No discussion. Madem kibao wanazaa hapo mlimani na wako UG. Huyo dem keshaona jamaa si type yake. Waachane tu
 
Back
Top Bottom