Hot discussion: Wanaume wa Tanzania na mapenzi

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,557
45,868
Huu ni mtandao wa jamii na kazi yake ni kuelimisha jamii.

Kuna hii tabia imeibuka ya ufanywaji mapenzi kinyume cha maumbile. Dunia imeharibika hii sio mchezo. Asilimia kubwa ya wanawake tulishapitia dhahama ya kuombwa huo mchezo na wengine wameshafanyishwa kabisa.

Najiuliza jamani haya mambo nyie wanaume mmejifunzia wapi? Yana raha gani mkiulizwa? Na msipofanya mtakuwaje?

Acheni kuwachezea watoto wa watu hao ndo mama na binti zenu wa kizazi kijacho

cc kwa serikali
Ombi kwa serikali yetu, kuna haja ya kufanya kampeni juu ya jambo hili, vijana wa kike na wa kiume wanapaswa kujulishwa madhara yake, wanapaswa wajitambue.
 
*Naapa kwa Mwenyenzi Mungu Mtukufu Muumba mbingu na ardhi aliye juu mbinguni.
*Hakika wanaume na wanawake wanaofanya matendo ya namna hii mimi sipo pamoja nao kabisa.
*Nakuomba ewe Mwenyezi Mungu Mtukufu uniweke mbali na matendo haya, mimi pamoja na kizazi changu chote.
*Uwape malipo wanayostahili watu wote wanawake na wanaume wanaofanya matendo haya siku ya kufa na kufufuliwa kwao.
Amen.
 
Usiumize kichwa sana my Dear !!!....Amna kipya chini ya jua .

Haya yanayoendelea sasa yalifanywa wakati Wa Sodoma na Gomora ambapo wanaume walioana wao kwa wao hata Mungu akaamua kuwaangamiza !!.

Kwaufupi ,, Watu kutokua na Hofu na Mungu hii kitu imefanya Jambo hili lijirudie tena , nabila Shaka Moto utahusika tu.

Wewe mla Tigo ni Pumbavu.
Wewe mtoa Tigo Ni Pumbavu Mara mbili !!.
 
Umefanya vema kufunguka kemea tena Sanaa hili ni tatizo lina madhara kwa wote washiriki
Hili limekuja kutokana na kuiga kila kitu kutoka kwa wenzetu kiwe kibaya au kizuri mungu atuepushe na hii dhambi
 
Huu ni mtandao wa jamii na kazi yake ni kuelimisha jamii.

Kuna hii tabia imeibuka ya ufanywaji mapenzi kinyume cha maumbile. Dunia imeharibika hii sio mchezo. Asilimia kubwa ya wanawake tulishapitia dhahama ya kuombwa huo mchezo na wengine wameshafanyishwa kabisa.

Najiuliza jamani haya mambo nyie wanaume mmejifunzia wapi? Yana raha gani mkiulizwa? Na msipofanya mtakuwaje?

Acheni kuwachezea watoto wa watu hao ndo mama na binti zenu wa kizazi kijacho
Asilimia kubwa ya wanaume wamefundishwamchezo huo na hio asilimia kubwa ya wanawake mliopitia hio 'dhahama'
 
Mi nasikiaga nyie wenyewe ndo mnataka. Kwahiyo mwanaume anakuomba akiamini kuwa mnataka, so asipokuomba utamuona mshamba, hajui mapenzi, hajui kumridhisha mwanamke, wenyewe mnajua mnavotuchambanga
 
Usiumize kichwa sana my Dear !!!....Amna kipya chini ya jua .

Haya yanayoendelea sasa yalifanywa wakati Wa Sodoma na Gomora ambapo wanaume walioana wao kwa wao hata Mungu akaamua kuwaangamiza !!.

Kwaufupi ,, Watu kutokua na Hofu na Mungu hii kitu imefanya Jambo hili lijirudie tena , nabila Shaka Moto utahusika tu.

Wewe mla Tigo ni Pumbavu.
Wewe mtoa Tigo Ni Pumbavu Mara mbili !!.
wapumbavu sana mkuu.kuna lijamaa lilikuwa linaniombaga tigo kweli .siku moja limelewa zii nikaliambia leo nakufumua rinda live ukome kumendea marinda yangu
 
..Dada hili jambo usituangushie wanaume lawama...hili jambo linaratibiwa na wanawake kwa asilimia kubwa...na sisi ni utekelezaji tu.Hivi mwanamke ukiweka msimamo wa dhati hufanyi hicho kitu kuna mwanamme atakulazimisha?!..Udhaifu wenu wa kutaka kufurahisha mwanamme ndio unapelekea mnakutana na dhahama hizo....na kuna baadhi ya wanawake hawataki kabisa huko pa kawaida yaani wamepafanya pa ziada tu lkn kazi ipo nyuma na usipompa nyuma anakuona wewe Umetoka dunia isiyojulikana.....!na sisi wanaume hatusemi tu lkn tumekutana na vioja vingi mno
 
Back
Top Bottom