Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa mke wa maisha

May 20, 2020
33
26
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya.

Kiukweli nahitaji Mwanamke ambaye Mungu akijaalia awe mke wangu wa maisha.

SIFA ZANGU:

- Umri wangu ni miaka 33.

- Elimu yangu ni ya chuo kikuu.

- kazi yangu Mimi nimejiajili (mfanya biashara pia Nina kijikampuni changu kidogo)

- Kabila Baba ni Mmanyema na Mama ni Mpare.

- Nilipozaliwa na kukulia Ni Tabora Tanzania.

-Ninakoishi kwa sasa ni Dar es Salaam Tanzania.

- Dini yangu ni Muislamu

SIFA ZA NIMTAKAE:

- Umri kuanzia 18 mpaka 40

- Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea.

- Kazi awe ameajiliwa au amejiajili.

- Kabila ni lolote tuu.

- Alipo zaliwa na kukulia ni popote tuu.

- Sehemu anapoishi sasa ni Popote ila wa Dar es Salaam au Mkoa wa Pwani watapewa kipaombele zaidi.

- Dini awe yoyote ila awe mwenye hofu ya Mungu.

- Awe mrembo,mwenye Muonekano mzuri na tabia njema pia,mwenye uhitaji na kiu kubwa ya kuwa na Mume.

KWA YEYOTE ALIYE TAYARI NAOMBA UNI PM NITAKUJIBU NA HATA KAMA NIKICHELEWA AMINI NITAKUJIBU PIA TUKIRIDHIANA PICHA ZANGU,NAMBA ZA SIMU NA MAWASILIANO MENGINE NITAKUPATIA.

MUNGU AWABARIKI SANA.
 
Huna jamii, ? Church /mosque ? , Sokoni , dukan ? Street ? Jiran ? Kote huko usione mwanamke alokuvutia uje mtandaoni ??? Sure ? Kaz ipo
 
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya.

Kiukweli nahitaji Mwanamke ambaye Mungu akijaalia awe mke wangu wa maisha.

SIFA ZANGU:

- Umri wangu ni miaka 33.

- Elimu yangu ni ya chuo kikuu.

- kazi yangu Mimi nimejiajili (mfanya biashara pia Nina kijikampuni changu kidogo)

- Kabila Baba ni Mmanyema na Mama ni Mpare.

- Nilipozaliwa na kukulia Ni Tabora Tanzania.

-Ninakoishi kwa sasa ni Dar es Salaam Tanzania.

- Dini yangu ni Muislamu

SIFA ZA NIMTAKAE:

- Umri kuanzia 18 mpaka 40

- Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea.

- Kazi awe ameajiliwa au amejiajili.

- Kabila ni lolote tuu.

- Alipo zaliwa na kukulia ni popote tuu.

- Sehemu anapoishi sasa ni Popote ila wa Dar es Salaam au Mkoa wa Pwani watapewa kipaombele zaidi.

- Dini awe yoyote ila awe mwenye hofu ya Mungu.

- Awe mrembo,mwenye Muonekano mzuri na tabia njema pia,mwenye uhitaji na kiu kubwa ya kuwa na Mume.

KWA YEYOTE ALIYE TAYARI NAOMBA UNI PM NITAKUJIBU NA HATA KAMA NIKICHELEWA AMINI NITAKUJIBU PIA TUKIRIDHIANA PICHA ZANGU,NAMBA ZA SIMU NA MAWASILIANO MENGINE NITAKUPATIA.

MUNGU AWABARIKI SANA.
MI VIGEZO NINAVYO NA SIJUI NAKUPATA VPII NA KIU NINAYO. NAOMBA UNI INBOX NIKUPATIE NAMBA ZANGU TUWEZE KUWASILIANA.
 
VIGEZO NINAVYO NA NIA NINAYO NA UHITAJI NINAO ILA SIJUI NAKUPATA VIPI. NAOMBA INI INBOX ILI TUBADILISHANE MAWASILIANO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom