Natumai hamjambo wanajamvi.
Wanawake hasa walio kwenye ndoa wana haka katabia, ikitokea mwanamke akataka game mwanaume hajisikii mwanamke huchukia sana na hupelekea kulipiza kisasi siku ukimtaka atakunyima kusudi.
Lakini upande wetu wanaume tukiwataka wakatunyima hua tunawabembeleza na ikishindikana kabisa tunachukulia poa wala hatuwanunii wala kulipa visasi.
Tafadhali acheni hii tabia coz kama ambavyo nyie kuna wakati hamjisikii, hata sisi kuna nyakati pia hatujisikii.