Mwanamke wa makamo anataka kuniharibia kwa msichana wangu

Mwanamke wa makamo anataka kuniharibia kwa msichana wangu

definition

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
972
Reaction score
1,584
Natumaini wote ni wazima wana MMU,

Kama miezi 2 hivi iliyopita alikuja mama 1 wa makamo na mume wake ofisini kwangu walikuwa na matatizo nikawasaidia.

Mwishoni yule mama nikampa namba kama ana shida ani tafute au kama tatizo lake halita kwisha awe huru kuni tafuta. She is 35-40.

Baada ya kama week 2 akanitafuta akiwa na tatizo lingine nikampa ushauri, hapo ndipo alip anzisha mawasiliano na mimi akafunguka kuwa ametokea penda ukarimu wangu maneno mengi mengi mwisho wa siku aka niomba ni tuanzishe mahusiano kwani umri wake ana matatizo 'note' mimi ni( 22-24)
Sikutaka ilazia damu hii fursa.

Hidi saivi nimeshakutana naye kitandani kama mara 3 hivi. Kinachonifanya ni fungue huu uzi ni kwamba saivi nimepata mwanamke ambaye ni agemate nataka achana na huyo mama maana pia nahofia usalama wangu na mumewe naye ananifahamu.

Jimama lime goma na lina ni tishia kunichomea kwa mumewe na kuniharibia kwa mtu wangu mpya. Nimebaki njia panda ni fanye nini? Je nijisalimishe kusema ukweli kwa mume wake? Au ni endelee naye?

NOTE: Nina picha zake chafu chafu je nizitumie kama ngao?

Mchango wenu wana MMU
 
Huyu mama anakutisha bure,yeye ndiye muathirika mkubwa likibumbuluka.Nahisi yeye anataka akuchomee kuwa unamtongoza,chakufanya hapo wewe kuwa na ushahidi kuwa ulishatoka naye mara kadhaa then mwambie akichoma wewe unaweka wazi kila kitu then unapotea.Hatokubali ndoa yake kusambaratika.
HACHA TABIA ZA KIPUMBAVU KUMFUNUA KILA ANAYETAKA UMFUNUE.
 
Sikulaumu sana maana mwili unaongozwa na tamaa na ni wachache wenye uwezo wa kuzicontrol mpka umeweza kutembee na makamo wako ukijua lile ni zali...Kwanza pima afya yako,halafu anza kumwacha taratibu kwa kupunguza mazoea ya kuonana naye mara kwa mara.Sijui ni nani aliyekutuma umwambie una mpenz mwingine.... Hapo ataanza kukufanyia visa zaidi ..be smart. Tumia akili yako kama mwanaume uweze kumkacha..

MWANAUME NI MWALIMU.
 
I

Ingekuwa ww unge acha ilo zali mkuu..!?? Wanawake wana sumu mbaya sana mkuu hawa chelewi geuza kibao kwako.
 
Sikulaumu sana maana mwili unaongozwa na tamaa na ni wachache wenye uwezo wa kuzicontrol mpka umeweza kutembee na makamo wako ukijua lile ni zali...Kwanza pima afya yako,halafu anza kumwacha taratibu kwa kupunguza mazoea ya kuonana naye mara kwa mara.Sijui ni nani aliyekutuma umwambie una mpenz mwingine.... Hapo ataanza kukufanyia visa zaidi ..be smart. Tumia akili yako kama mwanaume uweze kumkacha..

MWANAUME NI MWALIMU.
Kuhusu kupima ilo halina shida tunajua status yetu. Nafasi yaku mwacha pole pole sina tena maana nlisha mchana na nina week nime mute si msemeshi.
 
Mbona beat za kitoto hizo achome kwa mmewe wakati na yeye ndio mwenye makosa.
Piga chini jimama hilo ila ulionesha udhaifu kutoka na shuga mamy wakati watoto wakali kibao kitaa
 
Kesho katutungie part two yake au tuletee tu nyingine mkuu bwana mdogo,sawa eeenh?
 
Back
Top Bottom