Mwenye experience ya ku-date na Bar Maid, ushauri tafadhali

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,958
Hivi umeshawai kumwona mtu ukampenda ghafla kupita kiasi? Toka weekend iliyopita nimejikuta mwenye mahudhurio yaliyotukuka kwenye bar moja huku kwetu sababu ya bintu mmoja maid hapo bar.

Anasura ya upole, si mwongeaj, anaoneka anafanya hiyo kazi basi tuu, hapendi, mzuri, mwoga, nimemchunguza sana hata anavyohudumia anaonekana sio experienced, 22-24 yrs of age hivi.

I am actually not justifying anything, ila kwa uchumi huu nimeona nisimjudge kwamba she probably a whore. Mimi nataka nimuonje. Then kama ana tabia njema awe side chick, and perhaps upgrade her to demu

Sasa najua humu kuna wazoefu wa situations kama hizi. Hebu nipeni uzoefu wenu na hawa wahudumu

Na je, mhudumu wa bar, mgahawa wa chakula, mhudumu wa supermarket etc ni sawa?
 
Mkuu.
Kwanza kumbuka kwamba hiyo ni kazi kama kazi nyingine yeyote, na tabia ya mtu haina mahusiano na aina ya kazi anayo ifanya. Ingawa mazingira ya kazi yanaweza kusababisha mtu akabadilika na kuwa tofauti na tabia yake ya kawaida.

Pia haijawahi kuandikwa kwamba mpenzi sahihi utampata wapi ama kwenye mazingira gani, hivyo nakushauri tu kama moyo wako umeridhia na macho yako yamevutika basi hiyo kazi yake isikutishe.

Alafu, pengine ukifuatilia utagunduwa kwamba huyo binti yawezekana alikuwa na ndoto za kuwa hata Dr Zainab, lakini changamoto za maisha na ugumu flani ndio yalio pelekea leo hii umemkuta hapo alipo.
 
Mkuu hujawahi kuwaona wale machangu wanavaa gauni na kanga juu utadhani ni kuku wa kienyeji kaingia leo gusa uone dadeki ni kuku wa kizungu hamna kitu ila kama unataka kupita nae we pita tu hayo mengine ya ziada
 
Back
Top Bottom