Hii ni ishara gani dada zetu?

Machmadem

JF-Expert Member
Jul 9, 2017
758
933
Habari za wakati huu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate.

Nisipoteze muda sana katika hiki kipenge kinawahusu kina dada huu ni waraka kwenu

Mara ya sita sasa hii nimekutana na wadada sehemu tofauti tofauti katika harakati za ku seti mtongozo imekua ni tabia sasa tena imekita mizizi. Kiukweli haya mambo yakuulizia kazi ya mtu/kipato chake yanatia mashaka sana sidhani kama wife material anaweza kua na tabia za kimburu kama hizo.

Huu ujumbe uwafikie kina dada wote wenye tabia kama hzo muache kila siku mtasingizia mnarogwa kupata ndoa.
 
Hii tabia imekithiri sana,,wanatanguliza sana pesa,,,Binti ukimwambia aje anaanza kuuliza utanipa hela? wakati huo ulitarajia utengeneza mazingira ya kufanya nae maisha

Sasa kwa hali hii ni ngumu sana hawa dada zetu kupata waume wa kuwaoa wataishia kudanga tu,,,
 
Back
Top Bottom