Mwanaume aliyezoea mapenzi kinyume na maumbile atakuwa radhi hata kutembea na wanaume wenzake

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,583
4,615
Mwanaume aliyezoea mapenzi kinyume na maumbile atakua radhi kutembea hata na wanaume wenzake

Mzuka humu ndani?

Basi leo nakuja hili jambo na kwanza samahanini sana kwa ambao mtakwazika na hii mada ila ndo uhalisia wa mambo ulivyo.

Ni hivi katika mahusiano kati ya mume na mke au boyfriend na girlfriend, kunaweza ikatokea mwanaume anapenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile (anal sex), na wengine wanawaforce wake zao, na hata wengine tabia hizo na hiyo michezo wanayo sasa linakuja suala la kufanya ambapo anaweza kufanya girlfriend wake au mke wake kwa kumforce au kumlazimisha.

Mwanaume wa aina hii siku akichoka au akikukinai na akikosa kabisa huo mchezo atakua radhi hata atembee na wanaume wenzake yaani mashoga au hata wengine wanafanya matendo ya ajabu ajabu. Unasikia kesi za ulawiti wa watoto na ndugu michezo inayoendelea majumbani inashika kasi kwa sababu ya matendo kama haya.

Anaweza akawa anataka kitu kama hicho wewe kama mkewe au girlfriend wake ukamgomea, basi ujue huyo atakua radhi hata akatembee na wanaume wenzake tu ili aridhishe haja zake. Ninayo mifano ya cases nyingi za mambo ya aina hii.

Ushauri bure kwa kina dada na kina mama:
Msikubali kutendewa hiki kitendo wala msikubali kuwa na mpenzi anayeku-force kufanya hayo au kukuomba, achana naye. Na kama ni mchumba anakuomba huo mchezo mkatalie tu maana ukikubali ujuwe hatokaa akuoe au kukuoa ni muhali.

Mimi nawaonea huruma kina dada na kina mama ambao haya mambo hawayapendi na unakuta sio mdau kabisa sasa kufundishwa hii michezo sio jambo jema kabisa.Tujifunze kuwaheshimu wanawake tuepuke kusambaza huu mchezo kwani wasiokua na hatia ndo wanaumia
 
Mambo ya sodoma na Gomora watu walichomwa moto .Tuache sio mazuri ndo maana Mungu anachukia kumuumba binadamu balaa kama korona ni hasira za Mungu kutokana na machafu afanyayo binadamu
 
Unachokisema ni sahihi sana tu, na siku hizi mashoga wanazidi kuongezeka. Na kuna wana nilikuwa nawajua kwa stori zao za kupenda kupekenyua mitaro lakini siku zimeenda nikaanza kuona tabia zao zinazidi kubadilika tu na hadi leo sina imani nao maana hata namna wanavyo pose kwenye picha daah.!
Naona wamegeuzwa Mke..! Na shida sana asee
 
Siku hizi mnaongelea anal sex kama ni ugali hivi! Mkiyakalia kimya yataendelea kifanyika chini chini kama ilivyokua enzi za ng'ongo nyama.

Tujifunze kufumba macho sio kila kitu chakuongelewa kama unahubiri mambo mazuri kumbe upuuzi.

N:B Ahsante kwa kutukumbusha lkn.
 
Ukifuata utaratibu wa sheria Basi ndoa inavunjwa haina mjadala hiyo. Ikitokea nenda mahakani omba taraka.v Achana na firani kabisa.
 
Sio kweli, kulawiti mwanaume mwenzio ni tabia ya MTU, hata kama hujawahi kuwaingilia wadada kinyume na maumbile

I'm 100% straight (natamani wanawake tu na nafanya ngono na wanawake tu) nishawahi kula tigo za wadada wengi tu, ila sijawahi kuila tigo ya mwanaume mwenzangu, wala kutamani kula tigo ya mwanaume mwenzangu sijawahi .toplemon
 
Kweli
Unachokisema ni sahihi sana tu, na siku hizi mashoga wanazidi kuongezeka..! Na kuna wana nilikuwa nawajua kwa stori zao za kupenda kupekenyua mitaro lakini siku zimeenda nikaanza kuona tabia zao zinazidi kubadilika tu na hadi leo sina imani nao maana hata namna wanavyo pose kwenye picha daah.!

Naona wamegeuzwa Mke..! Na shida sana asee
 
Duuh but wachache sana
Sio kweli, kulawiti mwanaume mwenzio ni tabia ya MTU, hata kama hujawahi kuwaingilia wadada kinyume na maumbile

I'm 100% straight (natamani wanawake tu na nafanya ngono na wanawake tu) nishawahi kula tigo za wadada wengi tu, ila sijawahi kuila tigo ya mwanaume mwenzangu, wala kutamani kula tigo ya mwanaume mwenzangu sijawahi toplemon
 
Siku hizi mnaongelea anal sex kama ni ugali hivi! Mkiyakalia kimya yataendelea kifanyika chini chini kama ilivyokua enzi za ng'ongo nyama.

Tujifunze kufumba macho sio kila kitu chakuongelewa kama unahubiri mambo mazuri kumbe upuuzi.

N:B Ahsante kwa kutukumbusha lkn.
mwanani....Mwafanga.....
Na bigijiii za kuchimba..
 
Mwanaume aliyezoea mapenzi kinyume na maumbile atakua radhi kutembea hata na wanaume wenzake

Mzuka humu ndani?

Basi leo nakuja hili jambo na kwanza samahanini sana kwa ambao mtakwazika na hii mada ila ndo uhalisia wa mambo ulivyo.

Ni hivi katika mahusiano kati ya mume na mke au boyfriend na girlfriend, kunaweza ikatokea mwanaume anapenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile (anal sex), na wengine wanawaforce wake zao, na hata wengine tabia hizo na hiyo michezo wanayo sasa linakuja suala la kufanya ambapo anaweza kufanya girlfriend wake au mke wake kwa kumforce au kumlazimisha.

Mwanaume wa aina hii siku akichoka au akikukinai na akikosa kabisa huo mchezo atakua radhi hata atembee na wanaume wenzake yaani mashoga au hata wengine wanafanya matendo ya ajabu ajabu. Unasikia kesi za ulawiti wa watoto na ndugu michezo inayoendelea majumbani inashika kasi kwa sababu ya matendo kama haya.

Anaweza akawa anataka kitu kama hicho wewe kama mkewe au girlfriend wake ukamgomea, basi ujue huyo atakua radhi hata akatembee na wanaume wenzake tu ili aridhishe haja zake. Ninayo mifano ya cases nyingi za mambo ya aina hii.

Ushauri bure kwa kina dada na kina mama: Msikubali kutendewa hiki kitendo wala msikubali kuwa na mpenzi anayeku-force kufanya hayo au kukuomba, achana naye. Na kama ni mchumba anakuomba huo mchezo mkatalie tu maana ukikubali ujuwe hatokaa akuoe au kukuoa ni muhali.

Mimi nawaonea huruma kina dada na kina mama ambao haya mambo hawayapendi na unakuta sio mdau kabisa sasa kufundishwa hii michezo sio jambo jema kabisa.Tujifunze kuwaheshimu wanawake tuepuke kusambaza huu mchezo kwani wasiokua na hatia ndo wanaumia
mim! Mbona nawafokoa tu uko beh!nd hata mdume ukijilengesha bar!daa tu.
 
Siku hizi hata nyumba za ibada wanahubiri ngono...kuna shekhe mmoja jina sitataja anaigiza pia mwenyewe anajinadi anapenda mizigo na kwa wakristo kuna pasta sijui ndo mchungaji yule mwenye jina la Kabila wanapotoka ombaomba maarufu makao makuu ya nchi mahubiri yao huamasisha ngono tu.
Siku hizi mnaongelea anal sex kama ni ugali hivi! Mkiyakalia kimya yataendelea kifanyika chini chini kama ilivyokua enzi za ng'ongo nyama.

Tujifunze kufumba macho sio kila kitu chakuongelewa kama unahubiri mambo mazuri kumbe upuuzi.

N:B Ahsante kwa kutukumbusha lkn.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom