WilsonKaisary
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 392
- 954
KAMA WEWE NI MWANANDOA AU UNATARAJI KUINGIA KATIKA NDOA SIKU MOJA.
SOMA HII👇
👉kudumu kwa #Ndoa kunategemeana na nani umemchagua kuingia nae katika #Ndoa. Endapo utaingia katika #Ndoa na mwanamke ambaye ulimpenda kwa ajiri ya makalio makubwa au uzuri lakini hajui chochote kuhusu #Ndoa, Basi hapo ndoa lazima itakuwa chungu kwako.
👉Kwenye #Ndoa unatakiwa uingie na mwanamke ambaye yupo tayari kuingia katika #Ndoa, ila ukiingia katika #Ndoa na mwanamke hayupo tayari kuingia NDOANI Atakusumbua sana.
👉Ukitaka kuingia katika #Ndoa lazima uufunze moyo wako kuwa na UVUMILIVU wa hali ya juu saaana. Na ujifunze kudhibiti HASIRA zako. Mwanamke ni mtu wa kukosea, kusahau na kurudia makosa. Hivyo kama utakosa UVUMILIVU na utashindwa kuzuia hasira zako. Ndoa inaweza kugeuka kuwa UWANJA WA VITA kila siku.
👉Kabla hujaingia katika #Ndoa jiandae kuwa MUME, BABA na MWALIMU. Lazima umuhudumie mkeo kama BABA YAKE alivyokuwa akifanya, Lazima umfunze kila unapoona anakosea KAMA MWALIMU WAKE, na kitandani lazima umpe haki yake kama MUME.
👉TAFADHALI usiingie kwenye #Ndoa kwa kufata mkumbo. Usiingie NDOANI kwakuwa rafiki yako kaingia, usiingie NDOANI kwakuwa wazazi wako wanataka uoe. #Ndoa inahitaji uwe tayari kimwili na kiakili. Ukiingia kwa kulazimishwa badae unaweza ukawalaumu waliokulazimisha.
👉Usiache kuingia #Ndoani kwa sababu kipato chako kidogo. Hicho kipato chako kdogo endapo utampata mwanamke anayejua THAMANI YA #NDOA na anayejua MAISHA unaweza kuishi nae kwa kipato hicho. Kuna muda MUNGU hukupangia kufanikiwa kupitia mawazo ya MKEO Pia huwezi kujua kipato kikubwa unaweza kupata ukiwa na miaka 35au40