Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu inakuaje,pole na mihangaiko ya hapa na pale,,japo covid 19 kafifia kwa mbaal,,bado tuchkue tahadhari. Nirudi kwenye mada,,agizo la muheshimiwa raisi la kurudi chuoni nililitekeleza ipasavyo...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Kwa wapenzi wa movies za Hollywood watakuwa wameiona hii movie inaitwa Indecent Proposal 1993. Bilionea amewapa ofa ya Dola milioni 1 (zaidi shillingi Bilioni 2.2) kwa wanandoa ile alale na mke...
8 Reactions
97 Replies
7K Views
Kama imewahi kukutokea unaweza kushare experience yako na sisi Niliwahi kwenda field mkoani ofisi flan hivi so wakati naendelea ikatokea secretary wa boss akawa rafiki yangu wa karibu mda wa chai...
21 Reactions
88 Replies
13K Views
Maisha ya mapenzia, kwenye ndoa, uchumba au girl friend and boyfriend kupigana chini ni jamno la kawaida. Wanaume wengi kama upo over 25 of age ulishakumbana na hii kitu. Je, wewe huwa...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Poleni kwa majukumu wakuu. Kakangu ni mtu wa kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya biashara zake.na ninakoishi mimi na kakangu ni kama mita 80.na sababu ya mimi kwenda kuishi pembeni kidogo na...
1 Reactions
52 Replies
10K Views
Wandugu ni story ndefu ila kifupi ni kwamba nilipata mpenzi huyu ofcourse yeye ndio alinianza kunitafuta kwa group. Acha niende kwenye point, nimekuwa nae mieizi miwili mpaka sasa lakini cha...
1 Reactions
6 Replies
718 Views
1. Utafiti unaonesha 98% ya wanaume waliotailiwa wakiwa chini ya miaka 3 vibamia wengi wana vibamia..... 2. Utafiti unaonesha 78% ya wanaume ambao mashine wameanza kuitumia wakiwa na miaka zaidi...
7 Reactions
122 Replies
20K Views
Nilitembelea mgahawa x kupata chakula ili nisijekufa kwa njaa, akatokea jamaa mmoja mtu wa miraba minne naye akawa amekuja kupata huduma ya chakula...kama mnavyojua tena, kula ni muhimu ili kuupa...
1 Reactions
60 Replies
6K Views
Kila kukicha nimekuwa nikisoma matangazo ya kutafuta wapenzi, wachumba, mke na mume,tena yanaongozana ladies na gentleman najiulizaga si mtafutane mambo yawe rahisi tu. Lakini sijawai kusoma...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu habari gani? Mimi nilikuwa na mahusiano na binti mmoja since 2014, nilirusha ndoano na mahusiano yetu yakaanzia hapo. Kutokana na harakati za maisha na nini, mimi nilitoka mkoa ule na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
WanaJF poleni na COVID-19. tuendelee kuchukua taadhari , wafanyakazi nawatakieni may mosi njema, wasio na kazi muendelee kutafuta kazi wala msikate tamaa mungu atajibu maombi yenu.back to the...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wasalaam. Ni matumaini yangu kuwa maandalizi ya xmass na mwaka mpya yamepamba moto na kila mmoja anatamani kuumaliza mwaka kwa namna yake. Turudi kwenye mada,ni ukweli ulio wazi kuwa mahusiano...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Nakazia kwamba mnapoingia katika mahusiano kila moja huwa na shauku yake. Kuna atakayehitaji upendo ila mwingine akawa na shauku ya mahitaji mengine kabisa. Mnaposhindwa kufahamiana kimahitaji...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Kwasasa nimekua na moyo wa plastic, yaani sijui kupenda mwanamke, ile kitu kupenda kwangu imeshaisha. Nikichukua namba za mwanamke nikiona analeta nyodo, nazifuta fasta kabla sijazikariri. Ile...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Kumradhi kwa uandishi mbovu Bila kuchelewa twende kwene mada Binafsi nakumbuka kipindi nikiwa kidato cha nne shule flan huko arusha nilikuwa naishi na rafiki zangu watatu gheto coz tulikuwa...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Imagine uko na mpenzi wako kwa miaka kadhaa lakini kila siku anakupa missionary umeomba zaidi ya Mara elfu tano akupe mbuzi kagoma amekataa katakata nawewe missionary umeikinahi Je, unafanyaje?
2 Reactions
77 Replies
10K Views
Mara nyingi tunasikia wanasema kaa mbali na simu ya mpenzi/mwenza/mwanandoa wako kama unataka mdumu kwenye mahusiano Pia sheria ya mtandao ya mwaka 2015 inamtaka kila mtumiaji wa social media...
3 Reactions
62 Replies
4K Views
Hili naliandika kutokana na experience ya changamoto wanazokutana nazo members hususani akina dada! Hivi ni wangapi huku mitaani tumewahi kuwasikia raia wakihoji “hivi yule kampendea nini!” Hapa...
15 Reactions
131 Replies
15K Views
Joyce Kilia amezungumza na familia ya Vicent (Mwanamme anaedaiwa kufumaniwa na mke wake) Akizungumza Agnes Vicent Malya( Mfumaniaji) anasema yeye ni mke wa ndoa wa Vicent Malya na wamefanikiwa...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
1. Hajui mapenzi, anapika vizuri, anakiburi ni msafi ila anapenda kuwa rafu mpaka apende ndo avae vizuri apendeze ana biashara zake hela haimpigi chenga ila hata chumvi hanunui anawivu sana...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom