Yupi anafaa kuoa kati ya hawa mabinti wawili?

Mr mgeni

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
1,222
803
1. Hajui mapenzi, anapika vizuri, anakiburi ni msafi ila anapenda kuwa rafu mpaka apende ndo avae vizuri apendeze ana biashara zake hela haimpigi chenga ila hata chumvi hanunui anawivu sana akipiga sim isipopokelewa anachanganyikiwa anafunga hadi biashara yake anakutafuta .

2. Ni mzuri wa sura ana umbo kama malaika mwanaume rijali lazima uchanganyikiwe,hana pesa na hana tamaa si muombaji hadi umpe mwenyewe, msafi anajua kuvaa anajua mapenzi hana wivu ila akigundua unamcheat hachelewi kukuua hata kisu anakuchoma.

NAOMBA USHAURI NIMUOE NANI? No.1 au No.2.? nipo njia panda kama una chakuniuliza uliza tu.
 
Wakati unaelekea nyumbani siku ya juma tatu:
Utakutana na binti mmoja,kwasababu ya haraka ataangusha bahasha.

Utaokota na kumpatia,lakini hataonesha ishara yoyote ya shukrani.

Utaomba namba,atakupa kwa shingo upande.

Huyu ndiye shemeji yetu.
Anaitwa Grace
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom