Nimejipanga vizuri, sasa natafuta mke tufunge ndoa sitaki tena useja

Tall person

Member
Apr 22, 2020
9
8
WanaJF poleni na COVID-19. tuendelee kuchukua taadhari , wafanyakazi nawatakieni may mosi njema, wasio na kazi muendelee kutafuta kazi wala msikate tamaa mungu atajibu maombi yenu.back to the point.

Ni miaka 36 tangu nimezailwa kwa sasa nahitaji kuwa na mke so as to form a family.
Nina uwezo wa kutunza familia kwa asilimia 100% kwa sababu nimejipanga kama ifuatavyo
Uwekezaji. nimewekeza vitega uchumi katika sector mbali mbali kwa sasa nipo imara kiuchumi familia yangu haiwezi kutaabika.
kisaikolojia. nimekomaa kifikra , najitambua sana , nina uwezo wa ku- control hisia zangu , ku - control familia pamoja na masuala mengine ya kijamii.

Sababu za kuitaji mke (kuoa)
(a) Nahitaji mke so as to form a family kadri tutakavyo kubaliana
(b) Nahitaji mke ili tusaidiane , tushauriane na kuweka mawazo pamoja.
(c) Nahitaji mke ili tusaidiane kusimamia miradi iliyopo na kubuni miradi mingine ya maendeleo
(d) Nahitaji mke ili anipikie chakula niwe nakula nyumbani niache kula kwa mama ntilie. nk

Ngugi wathiong'o kwenye kitabu chake cha I will marry when I want aliwahi kusema " two is better than one"

Sababu za kuweka tangazo hili hapa jukwaani.
1. mapenzi ni popote 2. waliopo hapa jukwaani ndo wapo kwenye jamii 3. hakuna sehemu maalum iliyotengwa na jamii kwa ajili ya kutafuta mke / mume 4. jukwaa hili ni meeting point wa watu wa rika na tamaduni mbali mbali.

Sifa zangu bainifu.
36 years of age , nimeajiriwa serikalini vile vile nafanya biashara , elimu yangu ni ya Chuo kikuuu , sina Mtoto , ni mkristo.

Sifa za mke.
27 - 36 years of age , akiwa mkristo itapendeza , akiwa na pro , degree , PhD , masters diploma ni sawa , akiwa anajishughulisha / hajishughulishi ni sawa , mwenye mtoto hapana.

Nb. Ni matumaini yangu kuwa nitapata mke mwema na may mosi 2021 nitakuwa double.

mawasiliano
tumia njia zifuatazo
a) pm
b) email adress.
thomasaquina73@gmail.com

Nawatakieni may mosi njema
tuendelee kuchapa kazi na kujiadhari na covid-19
 
Unatafuta "mke" mfunge ndoa. wewe shule ya upili haijakusaidia japo uliibia mtihani.
Mchumba anafunga ndoa, pole sana haya ni madhara ya kukumbatia "CCM ile ile"
 
Njoo tuyajenge
 
Hongera mkuu, very detailed
 
Back
Top Bottom