Ananipima uvumilivu wangu au kuna lingine?

Ananipima uvumilivu wangu au kuna lingine?

waneemayote

Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
56
Reaction score
153
Wandugu ni story ndefu ila kifupi ni kwamba nilipata mpenzi huyu ofcourse yeye ndio alinianza kunitafuta kwa group.

Acha niende kwenye point, nimekuwa nae mieizi miwili mpaka sasa lakini cha kushangaza hataki nimshike, hata kiss hataki, anataka tuongee. Kiukweli nashndwa kuvumilia, nafikiria kmuacha.

Inawezekana atakuwa ananipima uvumilivu wangu?
 
miezi miwili tu jamani michache hivo, vumilia
 
Wandugu ni story ndefu Ila kifupi ni kwmba nilipata manzi huyu ofcourse yeye ndo alinianza kunitafuta kwa group

Acha niende kwenye point nimekuwa nae mieizi miwili sasa lakn Cha kushangaza hataki nimshike hta kiss hataki anataka tuongeee kiukwel nashndwa kuvumilia nafikiria kmuacha

Au atakuwa ANANIPIMA uvumilivu wangu?
Unafeli wapi jiongeze amekuona huna future naye.Mvutie pesa au kuna kitu amekiona kwako hataki tu kusema.Kama vipi mteme atakutafuta mwenyewe kweupe
 
Unafeli wapi jiongeze amekuona huna future naye.Mvutie pesa au kuna kitu amekiona kwako hataki tu kusema.Kama vipi mteme atakutafuta mwenyewe kweupe
Dah nimekusoma mkuuu ntapiga Moyo konde mi move on
 
Unafeli wapi jiongeze amekuona huna future naye.Mvutie pesa au kuna kitu amekiona kwako hataki tu kusema.Kama vipi mteme atakutafuta mwenyewe kweupe
Dah mkuu huu ushauri wako ningeupata mapema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom