Kama umetendwa tukutane hapa

Kama umetendwa tukutane hapa

PintoG

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2017
Posts
612
Reaction score
732
Maisha ya mapenzia, kwenye ndoa, uchumba au girl friend and boyfriend kupigana chini ni jamno la kawaida.

Wanaume wengi kama upo over 25 of age ulishakumbana na hii kitu.

Je, wewe huwa unajifariji na nini siku za mwanzo baada ya kuzinguliwa na demu?
 
Hii kitu ni changamoto sana ...
 
Niliota kuna mtu kavaa guo jeupe sura mpaka leo siikumbuki mwanamke, akaniambia wewe fala kwa nini unateseka na yule em achananae utapata mzuri zaidi ya yule, tokea niamke day ile mwaka 2014 mpaka leo hii niko imara, ingawaje 2016 alinitafuta sana na mwisho akachoka mwenyewe
 
Niliota kuna mtu kavaa guo jeupe sura mpaka leo siikumbuki mwanamke, akaniambia wewe fala kwa nini unateseka na yule em achana nae utapata mzuri zaidi ya yule, tokea niamke day ile mwaka 2014 mpaka leo hii niko imara, ingawaje 2016 alinitafuta sana na mwisho akachoka mwenyewe
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
wengi imewakuta na ikawaumiza mno ila pamoja na hasara yake, huwa inasaidia sana kwani thamani ya upendo utaijua siku ukitendwa. mpaka leo naamini kuwa ikiwa bado haujawahi kutendwa katika maisha yako ya kupenda basi bado hujajua mapenzi ni nini.
 
Mbona huu uzi una watu wachache kuliko uhalisia uliopo kwenye mitaa
 
Wanaume mje huku mna kikao chenu.
Secretary wenu nipo hapa [emoji16]
 
Dawa ya tatizo la mwanamke ni kutafuta mwanamke hakuna kingine kwann uteseke wakati wapo wengi huu ni uzoba.
 
Dawa ya tatizo la mwanamke ni kutafuta mwanamke hakuna kingine kwann uteseke wakati wapo wengi huu ni uzoba.
Inategemea na eneo, wanawake zaidi ya 12 day hizi wanaweza kuchukuliwa sharbaro mmoja tu kitaa, kama wa kupiga tu ukasepa apo sawa ila hawa wa kuishi nao kimapenzi dah pasua kichwa
 
Inategemea na eneo, wanawake zaidi ya 12 day hizi wanaweza kuchukuliwa sharbaro mmoja tu kitaa, kama wa kupiga tu ukasepa apo sawa ila hawa wa kuishi nao kimapenzi dah pasua kichwa
Usimtengeneze mazingira wala kuwe too much expectation kwa kila mwanamke kuwa unaweza kuishi naye ukiweza hili hutoumia kizembe kabisa mazingira ndio yata determine kuwa unaweza ukaishia naye baada ya kujiridhisha kwenye kila idara.
 
Kwa siku za mwanzo mm nililia Kama mtoto mdogo maana si kwa maumivu Yale Yani kuna mshituko unaanzia kifuani unapita tumboni, kiunoni, mapajani, magotini, unaenda malizikia kwenye vidole vya miguuni. Ni hatari jogoo hakuwika 2weeks,mwili ukaishiwa nguvu chakula hakikupanda nikawa nakunywa maji tu ndo ponapona yangu. Najilaumu pengine ningekuwa mlevi wa pombe nisingeumia kiasi like.
 
Ndo nmetoka kuachwa mda huu
Nimeona text nikiwa nakula msosi wa usiku
 
Back
Top Bottom