Kama ni wewe ungeamuaje?

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
9,504
12,175
Kwa wapenzi wa movies za Hollywood watakuwa wameiona hii movie inaitwa Indecent Proposal 1993.

Bilionea amewapa ofa ya Dola milioni 1 (zaidi shillingi Bilioni 2.2) kwa wanandoa ile alale na mke kwa usiku mmoja. Kwa kuwa walikuwa wamefulia, walikubali.

Swali ni je, ungekuwa ni wewe na mkeo au mumeo, mngekubaliana na hili?

Kabla hujatoa jibu, fikiria kwanza shillingi bilioni 2.2 zinaweza kuwasaidia kiasi gani. Kama hamna nyumba, mtajenga nyumba. Kama hamna gari, mtanunua magari. Kama ni biashara, mtaji wa kuanzisha biashara yoyote mtakuwa nao.

Je, mnaweza kuweka hisia zenu pembeni na kufanya uamuzi mgumu wa kujitoa kwenye umasikini?
 
Nitajadiliana na wife; kama akikubali who am I to say No? Maana nikimkatalia anaweza kwenda kuliwa kwa nusu bei..

Dili likikubali tunagawana kila MTU apate mgawo wake kisha tunajadiliana namna nzuri ya kulea watoto wetu kila mtu akiwa anaishi kwenye Mansion yake..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom