Mabaharia tuwe tunatembea na UPT mifukoni

Charliemic

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
604
Reaction score
979
Mabaharia wengi siku hzi huwa tunatembea na vipimo vya ngoma mifukoni pindi tunapoelekea kunako kugegedana. Nakumbusha tujenge tabia ya kutembea na vipimo vya mimba vile vya kutumia mkojo. Halafu kama kawa tunapima ngoma, tunagegedana kabla ya kuagana tunapima mimba.

Mtu anakuja na mimba yake huko ameipata anapopajua yeye anakutengenezea mazingira ya kimitego ukitegeka tu mnashirikiana halafu after a week anakuambia anahisi dalili za mimba yako akijua wazi amekubambikia.

Hii mbinu itatusaidia kuepuka kubambikiwa mimba. Vipimo vyenyewe buku jelo tu

Naomba kuwasilisha
 
uelewa wako wa mambo hayo ni mdogo sana

utambue mbegu za kiume hukaa kwenye uke kwa saa 72 hizo saa chache mlizostarehe zisikufanye ukajiona huwezi bambikiwa mimba kuna masaa kibao mbele na mbegu ndio ndisa zipo safarinikuelekea kunako yai

kupima mimba baada ya kustarehe ili usibambikiwe ni nonsense muhimu ujue tu mzunguko wake mzee baba
 
Ila kwa jinsi nimemuelewa ni kwamba kuna wanawake sio waaminifu. Anaweza akakupa penzi ilihali ana mimba changa maybe ya week 3 mpaka mwezi sio rahisi kujua. Hivyo kwa kupima baada ya gemu unaweza mshtukia kwamba ana mimba na lengo ni kukubambikia.

Hii ilishatokea live kuna manzi chuo alimchiti jamaa yake ambaye yuko mtaani hadi kubeba mimba ya bitozi mmoja chuo. Jamaa alihudumia mimba mpaka kujifungua na akaenda kujitambulisha kwa binti kabisa. Yule manzi jinsi ana roho ngumu hakuwahi kumwambia jamaa mpaka tunamaliza chuo sijui kinaendelea nini ila its a time bomb. Siku jamaa akisanuka inaweza kuwa habari ya kusisimua nchini.
 
Mkuu mbona niliwahi sikia kuwa havionyeshi mimba ya chini ya week.
Wengi hawajanielewa, lengo ni kuepuka kubambikiwa mimba! Mtu anakuja na mimba ya wiki 2 huku akijua anakupa papa afu after a week anakuambia ana nimba yako
 
Hapo nimeelewa vizuri, lakini mkuu kama ishu ni kutaka kujiridhisha siumpime hiyo mimba wakati unampima HIV ukishapata majibu utaamua uendelee au uache.
 
uelewa wako wa mambo hayo ni mdogo sana

utambue mbegu za kiume hukaa kwenye uke kwa saa 72 hizo saa chache mlizostarehe zisikufanye ukajiona huwezi bambikiwa mimba kuna masaa kibao mbele na mbegu ndio ndisa zipo safarinikuelekea kunako yai

kupima mimba baada ya kustarehe ili usibambikiwe ni nonsense muhimu ujue tu mzunguko wake mzee baba
Mbona povu mama!?? Unataka tuendelee kubambikiwa!??
 
Hapo nimeelewa vizuri, lakini mkuu kama ishu ni kutaka kujiridhisha siumpime hiyo mimba wakati unampima HIV ukishapata majibu utaamua uendelee au uache.
Hapa itakuwa ni kujila!! Yaani ulipie room utoke patupu!??
 
Ila kwa jinsi nimemuelewa ni kwamba kuna wanawake sio waaminifu. Anaweza akakupa penzi ilihali ana mimba changa maybe ya week 3 mpaka mwezi sio rahisi kujua. Hivyo kwa kupima baada ya gemu unaweza mshtukia kwamba ana mimba na lengo ni kukubambikia.

Hii ilishatokea live kuna manzi chuo alimchiti jamaa yake ambaye yuko mtaani hadi kubeba mimba ya bitozi mmoja chuo. Jamaa alihudumia mimba mpaka kujifungua na akaenda kujitambulisha kwa binti kabisa. Yule manzi jinsi ana roho ngumu hakuwahi kumwambia jamaa mpaka tunamaliza chuo sijui kinaendelea nini ila its a time bomb. Siku jamaa akisanuka inaweza kuwa habari ya kusisimua nchini.
Ndio mkuu, umenielewa vyema
 
Ili usikamatike uliza girlfriend wake tarehe ya siku zake then download application uweke update ya kila tarehe ya siku zake kila mwezi then itakuwa inaonyesha safe day, na danger day ka hutaki kuzaa hovyo na kila mwanamke
 
Ila kwa jinsi nimemuelewa ni kwamba kuna wanawake sio waaminifu. Anaweza akakupa penzi ilihali ana mimba changa maybe ya week 3 mpaka mwezi sio rahisi kujua. Hivyo kwa kupima baada ya gemu unaweza mshtukia kwamba ana mimba na lengo ni kukubambikia.

Hii ilishatokea live kuna manzi chuo alimchiti jamaa yake ambaye yuko mtaani hadi kubeba mimba ya bitozi mmoja chuo. Jamaa alihudumia mimba mpaka kujifungua na akaenda kujitambulisha kwa binti kabisa. Yule manzi jinsi ana roho ngumu hakuwahi kumwambia jamaa mpaka tunamaliza chuo sijui kinaendelea nini ila its a time bomb. Siku jamaa akisanuka inaweza kuwa habari ya kusisimua nchini.
ohkama hivo sawa asante kwa kunielewesha
 
Back
Top Bottom