DONDOO: Namna ya kutoroka fumanizi

and 300

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
26,325
36,122
1. Usipokee simu ukiwa na mchepuko/mke wa mtu (unaweza kuwa unafuatiliwa) kupitia mnara wa karibu wa kampuni ya simu husika.
2. Usitumie gari yako inayofahamika (Chukua Taxi/UBER/Bajaj/Boda boda)
3. Usiandikishe jina lako sahihi (Tafuta jina bandia MOHAMMED KWIGIZILE)
4. Funga chumba na funguo kwa ndani+Komeo+ziba kitundu kile cha funguo kwa nguo.
5. Mkimaliza, msitoke wote kwa pamoja, tangulia mwanaume, kuangalia usalama, baada ya dakika 15 ukiona salama ndipo umruhusu mchepuko nae atoke wakati huo umeshamtengenezea mazingira ya usafiri wa kumrudisha hom.

**Mods: (CORRECTION: NAMNA (si NSMNA) tafadhali rekebisha TITLE hapo juu.

Hapo kwenye jina bandia ndo umeharibu, kwa nn usiwashauri waandike paulo mchele?
 
Hivi hii nayo ni fundisho jema lakujenga taifa/familia?
 
Mimi huwa nikiona hii ni mali ya kuiba kwanza kabisa simuamini hata yule demu mwenyewe,
Nnachofanya Ntamwambia tukutane mahali fulani ambapo sipo nilipopanga kumpeleka( hii inasaidia kama kuna huko aliko amebanwa na simu imewekwa loudspeaker au msg zimefumwa)
Sasa akishafika huwa namchukua simu yangu nazima, na yake namuomba aizime au aiweke silent then simu zote nakaa nazo mimi( ili kuepusha kama amebanwa na ameambiwa atoe mawasiliano ya sehemu alipo, Ni kosa kubwa sana kuwa na demu kisha umuache abonyeze bonyeze simu),
Kitakachofuata ni kumchukua na usafiri private kama ni mbali, ila kama ninapotaka kumpeleka ni karibu basi namkatisha chocho huku nikihakikisha hakuna mtu anayeweza kutuona au kutufuatilia,
ITAENDELEA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom