Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
Kazi za kuajiriwa au binafsi zinazohusisha kusafiri mbali na makazi ni nzuri maana zina posho na incentives nyingine kulingana na nature ya kazi au ofisi.
Lakini katika vitu vinavyochangia ongezeko la uvunjifu wa ndoa au maambukizi ya UKIMWI ni pamoja na shughuli zinazohusisha kusafiri nje ya nyumbani kwako kwa muda mrefu.
Utafiti wangu umegundua kuwa wanaume wengi wanapokuwa safarini sio waaminifu kwa ndoa zao. Mara nyingi huchepuka na hivyo kujiongezea risk ya kupata maambukizi ya UKIMWI. (Hapa haihitaji kufafanua inaeleweka)
Lakini changamoto kubwa inakuja kwa hawa wake zetu tunaowaacha nyumbani! Mwanaume unaposafiri wiki mbili au mwezi mzima uwe na uhakika hata wa 45% kuwa unagongewa. Tena hizi ndoa za wasichana wa miaka hii ambao wana ma ex hata 20 kabla hawajaolewa, wanapigwa kweli kweli.
Nimeshuhudia wadada takribani 15 ambao waume zao wana utaratibu wa kusafiri nje ya Dar kwa wiki mbili au tatu, wanawake hao wamekuwa na tabia ya kurudiana na ma ex wao kimya kimya na wanasaliti sana ndoa zao. Na ukipata bahati ya kumsikiliza mmoja wao ambaye yupo honest atakwambia "Yaani nikae wiki mbili zote bila kugongwa? Kwani nina kilema?"
Wengine sio kwamba wanaamua kwa sababu ni umalaya, bali anakuwa ameshawishiwa kiasi kwamba anashindwa kuhimili vishawishi. Kwahiyo anasubiri mume asafiri apate muda wa kutosha kufanya yake.
Hawa waliohamishwa Dodoma wakaamua kuacha wake zao ndio balaa. Wake wanachapwa kwa kasi ya kusikitisha.
MWANAUME JITAHIDI KUIPENDA FAMILIA YAKO. HAKIKISHA MUDA MWINGI UPO NAYO