kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,059
- 3,658
Mwanamke unapomfanyia visa mwanaume tambua ipo siku utajuta kwa uliyoyatenda, nimeamua kubreak up mahusiano baada ya kushindwa kuendelea na vituko alivyokuwa ananifanyia. Leo ndo ameniona wa thamani.