Girlfriend Mnene Anahitajika

fareed uziel

JF-Expert Member
May 27, 2015
625
646
WanaJF

Nakuja kwenu kutafuta kipenzi cha roho yangu.Natafuta msichana awe girlfriend mwenye sifa hizi.
Awe mnene
Awe anavutia
Awe rangi yoyote.
Asizidi 35.
Asiwe na magonjwa yaambukiazo (clean)

Sifa zangu
Nina mwili wa wastan
Mweusi mtanashati
Nina miaka 27 sijaoa na nipo single na sina mtoto
Nina kazi yangu
Najali,napenda na huruma.

Karibu pm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom