Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Kama wewe ni mwanaume una miaka 25 na una date na mwanamke wa miaka 30 jua hapo wewe mwanaume ndio umepatwa!
Na kama wewe ni mwanamke una miaka 19 na una date na mwanaume wa miaka 30+ jua wewe mwanamke ndio umepatwa!
Kupatwa sio kwa jua na mwezi tu!
Mimi binafsi nimepata na date na kibinti kibichi hadi raha yaani barabara naweka zebra mwenyewe naweka matuta mwenyewe naweka mataa mwenyewe halafu nikimaliza nakabidhi kwa wananchi!
Waliopata na waliopatwa njooni mtoe ushuhuda hapa