Ukitaka mke au mume wa ndoa, tafuta Msafwa

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,463
Hili ni kabila linapatikana pale Mbeya mjini kama umewahi kuishi huko itakuwa ushawafahamu aloooo hawa watu ni wapole sana na ni wachapakazi balaa na ni wavumilivu sana katika mapenzi huwa sio wasariti kabisa yani wao wakiwa na mtu basi ni huyohuyo walahi naapa nikutaka kuoa nitawasafiria hukohuko wanakopatina
 
Hao hawapatikani mbeya,

Wanapatikana mkoa wa songwe , pale mbozi , maeneo ya Vwawa
Mbeya ni ya wasafwa Ndugu hata jina Mbeya linatokana na lugha ya kisafwa yaani Mbeya=Ibheya, wapo all over Mbeya city and its vicinities, kv mlima kawetire,Swaya,Uyole,Mandanji,Isyonje,Ikumbi near Songwe airport et al kwa ufupi jiji la Mbeya wenyeji wake ni wasafwa only that historia yao haitofautiani saana na red Indians kule America
 
Hili ni kabila linapatikana pale Mbeya mjini.kama umewahi kuishi huko itakuwa ushawafahamu.aloooo hawa watu ni wapole sana na ni wachapakazi balaa na ni wavumilivu sana katika mapenzi.huwa sio wasariti kabisa yani wao wakiwa na mtu basi ni huyohuyo.walahi naapa nikutaka kuoa ntawasafiria hukohuko wanakopatina
Mkuu hata pale Isyonje, Iwalanje, Isongole, Mporoto na Unyamwanga wapo kwa kias kikubwa na pengine ndio dominant tribe.
Mkuu Juvenile kabila haliolewi anaolewa mtu. Sidhani kama kabila ni sifa kubwa katika kupata mke ama mume. labda kama unawapigia debe wasafwa. Binafsi ninawafahamu sana wasafa na nimeishi nao kwa muda mrefu sana, sifa ulizowapa hazi-apply kwa wote automatically. NO. hizo hutokea on indiviual basis.

Na ili uone kuwa nawafahamu vizuri naongezea hayo yalielezwa na mkuu Shemtibuko hapo juu. sehemu nyingine walipo wasafwa ni Uyole, Mbalizi, Igoma, Ilungu, Ilomba, Ntangano, Nsongwi, Mantanji, Inyala, Kawetele, Iduda n.k. na majina yao ya asili ni kama (kwa wanaume)Shungu, Mbwiga, Ndele, Nzunye, Mwava(kwa wanawake) Tabu, shimba, Nzoho, Ilongo ama Yilongo, Shaali, Mbozyo, Mwisyo, Shoogoo.
 
Sina nyongeza hapo
 
Mtoa hoja unaweza ukawa sahihi kwenye hilo, ila mbona hujataja tabia kama ubinafsi, ulevi wa mataptap, uchafu, kujitenga na makabila mengine na kutopenda elimu? Me nimezaliwa na kuishi mbeya almost miaka 20 nawajua vizuri hawa jamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom