Inauma sana...

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,406
Natumai hamjambo wananzengo.

Wakuu hizi zama ni za hovyo mno, imagine unamgegeda vizuri mke/mpenzi wako hadi anakusifia na kukuahidi hawezi kukusaliti but kumbe anakung'ong'a tu.

Jana yamemkuta rafiki yangu aliyekua anatutambia kila siku kua mtu wake katulizana hivyo anamuamini sana na hawezi kuchapiwa.

Jana kamfuma na text zikionesha katoka kuliwa kaishiwa pozi kabisa.

Mwisho nawaasa mnaowaamini wanawake kupitiliza acheni tabia hiyo kuna siku mtakuja kujuta.
 
Unasema
IMG_20200614_001418.jpg
 
kumuamini lazima umuamini ila pia anatakiwa afahamu endapo akifumaniwa nini kinachofuata hakuna mjadala...
 
Unajuaje unamgegeda vizuri? Jambo la kwanza hakuna namna unaweza jisifu unamgegeda vizuri mdada. Hiyo Siri wanaijuaga wenyewe tu na kamwe usisikilize Yale maneno unaambiwaga eti yaani sijawahi gegedwa Kama we unavyonifanyia. Kwa taarifa yako hakuna mwanaume amewahi ambiwa na mpenzi wake kuwa hajui kugegeda wote dunia nzima wanaambiwaga wao Ni ma champion

Lakini pia mkuu, kuanzia Leo tambua kumgegeda vizuri mwanamke sio suluhisho la kumfanya asichepuke. Katika ubongo wako weka hiki kitu. Wa kugegedwa atagegedwa tu hata umfanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom