Huu utamaduni wa kumbemenda Mtoto una ukweli gani?

Mzee wa fact

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
234
183
Kuna huu utamaduni umejengeka kwenye jamii zetu eti ukiwa na mtoto mchanga ambaye bado hajaanza kutembea ukifanya mapenzi unambemenda au mtoto uliyemtahiri kidonda chake huwa hakiponi.

Kuna mahusiano gani hapo?
 
Sikufanikiwa kumshika alikimbia!
Alikuwa na miguu minne miwili mibovu miwili mizima.. alijitahidi kuruka sarakasi lkn nilimtia mikononi kwa mtama mashalaa!
 
Sikufanikiwa kumshika alikimbia!
Alikuwa na miguu minne miwili mibovu miwili mizima.. alijitahidi kuruka sarakasi lkn nilimtia mikononi kwa mtama mashalaa!
😂😂😂kwanini lakini?
 
Kuna huu utamaduni umejengeka kwenye jamii zetu eti ukiwa na mtoto mchanga ambae bado hajaanza kutembea ukifanya mapenzi unambemenda au mtoto uliemtahiri kidonda chake huwa hakiponi.

Kuna mahusiano gani hapo
Amini tu kipite silazima ulazimishe .
Ndio maana hata gari linaspea
 
Back
Top Bottom