Kwanini Wanawake wa Kizanzibar waishio Bara huenda kujifungulia kwao Zanzibar?

mjasiriamali mdogo

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
256
103
Kwa nini wanawake wa kizenji wanaoishi Tanganyika wakipata ujauzito wanakwenda kujifungulia zenji? Nimechunguza majirani zangu kama wa tano(5) hivi ninaoishi nao jirani huku tandika. Nijuzeni wadau.
 
Zanzibar ni nchi, akijifungulia huku itabidi baadaye aende kufanya utaratibu wa kusajiliwa kule, maana uraia wao ni Wazanziabari, na si Tanzania. Wanakuja kuingizwa ktk Tanzania pale tunapotaja Jamhuri.
 
Hata miye ningetamani mwanangu ajulikane kwa utaifa wake. Zenj ni nchi yenye mamlaka kamili. Kule wajulikana hadi kitovu chako kilipowekwa. Asikuambie mtu kingine bali ni hicho tu.
 
Nchi yenye Mamlaka kamili Rais wake angechaguliwa na M NEC wa Kibondo, Mbamba bay na Nshamba Muleba ambae Tangu kuzaliwa hajawahi hata kuona Bahari live?

Mamlaka Kamili lazima Rais wake kabla ya kugombea Urais lazima akapitishwe Dodoma kwny Mkutano wenye wajumbe kutoka Zanzibar wasiofika hata theluthi moja?
 
Mkuu;
Hujui siasa weye kaa kimya kabisa. Uliwahi kumwona huyo wa bara akienda hata kuufungua mradi wa sheheya?? Basi nyamaza. Kule dodoma wanaenda kupiga stamp rais mteule hao nnec kazi yao ni moja tu. Kutia saini kuwa weshamuona
 
Kunakamoja nakapiga miti kamepata mimba kakikaribia kuzaa ntakauliza
 
Back
Top Bottom