Vitu vitano ambavyo hautokuja kuvifanya tena

Vitu vitano ambavyo hautokuja kuvifanya tena

osmaney

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2017
Posts
1,042
Reaction score
1,000
Habari wanaJF

Nisizunguke sana, title inajieleza kabisa


Ukianza na mimi ni kama ifuatavyo;

1. Sitokuja kumwamini mtu tena

2. Take life too serious

3. Kujifananisha na wengine

4. Never judge a book by it's cover

5. Kufanya mapenzi kabla sijaoa😂😂

6.... hebu ongezea na zako hapo👇👇👇👇
 
Vitu hutakuja kuvifanya?
2?
4?
Mimi vitu sitakuja kuvifanya tena japo nilivifanya ni,
Sivioni.
sawa mkuu nimejaribu kukuelewa hivyo hvyo tu
 
Kumpigia magoti huku namlilia mtoto wa mtu nefaaa efaaaa Mungu nisaidie
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dhaaaaa
Yaaaani hutawah kabsa tena

stidy
 
Habari wanaJF

Nisizunguke sana, title inajieleza kabsa


Ukianza na mimi ni kama ifuatavyo;

1.Situkuja kumwamini mtu tena

2.take life too serious

3.Kujifananisha na wengine

4.Never judge a book by it's cover

5. Kufanya mapenzi kabla sijaoa[emoji23][emoji23]

6.... eb ongezea na zako apo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kulala na maiti bush

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom