screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,927
- 15,984
Kuna mrembo kitaa huwa namtamani siku nyingi, ni kashombeshombe fulani hivi kazuriiii, wiki iliyopita nikabahatika kupata namba yake baada ya kunizungusha kwa mda mrefu. Jana jioni nikapanga nimtoe out tukapate moja moto moja baridi, kitu cha kwanza alichonikera nilimwambia apande gari siti ya nyuma yeye akang'ang'ania akae mbele, nilimwambia hivyo kwasababu nna mahusiano mengine (japo sijaoa)
Akapanda mbele kama alivyotaka, tulipokuwa tunaenda ilikuwa ni umbali kama wa kilomita 15 hivi maeneo yenye milima, tumefika sehemu ya mtelemko ananiambia anajisikia vibaya, kabla sijamaliza kumuhoji nini tatizo akatapika matapishi ya kutosha alipokuwa amekaa na maeneo ya dirisha(lilikuwa limefungwa), na mengine yalisambaa maeneo ya dashboard na mengine kiasi yalinirukia mkono wa kushoto
Nilishindwa kusimamisha gari ghafla maana ilikuwa mtelemkoni, kwahiyo matapishi yote aliyamalizia humohumo huku nayeye akiwa amejitapikia kwenye viwalo vyake, kwakweli nilijikaza na kumpa maneno mazuri kwamba ni bahati mbaya ila kimoyomoyo nilimmind sana, ni kitu ambacho sijawahi kutegemea, tulipofika sehemu yenye utulivu nikamnunulia maji anawe, baada ya hapo nikamuuliza kulikoni, akaniambia yeye akisafiri umbali mrefu anajikutaga katika hali hiyo, nikajiuliza yaani kweli kilomita 15 zinamletea shida je akisafiri Dar to Bukoba?[emoji44][emoji44]
Kwakweli alijua kuniharibia siku, nikamwambia turudi tu home na mtoko ukawa umeishia hapo na nimejikuta kutokuwa na hamu naye tena. Kama alikuwa anajijua ana tatizo hilo ni kwanini alipojihisi hayuko sawa asingesema mapema ili nisimamishe gari ama ilikuwa ghafla?
[emoji35][emoji35][emoji35]