Ushauri gani utampa mtu anayetembea na Mkeo/Mume wako?

osmaney

JF-Expert Member
Jan 18, 2017
1,041
998
Habari wana JF

Poleni na majukumu ya leo, hongereni pia maana nyie ni wapamanaji

Kama kichwa kinavyojieleza pale juu na siyo Mkeo/Mme tu hata anayetembea na girlfriend wako au boyfriend wako ushauri gani utampa?

Zungumza kidogo

Karibuni Sana
 
Anavyotembea awe na angalau na mia mbili mfukoni asije kukanyaga nyanya za watu akashindwa kulipa.
Watembee sana ni mazoezi
Hahah kumbe Ile sentensi pale juu ni Tata mkuu
 
Back
Top Bottom