BABA NIFUNDISHE KUHUSU WANAWAKE
"Nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake?Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamu mdogo na mwanangu umeshakua kiasi cha
kuhitaji elimu hii adhimu, nikupe neno gani? labda hivi.
1.KUHUSU TAMAA ZAO.
-Mwanamke yeyoteanaweza kukutamani kimapenzi isipokuwa mama yako.
2. KUHUSU HULKA ZAO.
-Wanawake wote huonesha upendo wao waziwazi isipokuwa wale waliotendwa kabla.
3.KUHUSU KUACHANA.
-Mwanaume kumuacha mwanamke anayempendani kama simba kuacha kula swala, Mwanamke kumuacha mwanaume ni rahisi kama swala kumkimbia Simba mzee.
4.KUHUSU TABIA.
-Jihadhari na maneno ya vijiweni kwambawanawake wote wako sawa kitabia. No, lakini kumbuka hakuna Mwanamke asie Mwanamke.
5. KUHUSU MPENZI WA ZAMANI.
-Kujaribu kumsahau mwanamke uliyewahikumpenda ni kama kumkumbuka mtu usiyemjua.Ni ngumu.
6. KUHUSU KUOA.
-Muhimu kuoa, na ni ngumu sana Kumjua mkemwema kabla ya kuoa, ni waigizaji wazuri sana.Kumbuka maneno ya Albert. " Muhimu kuoa,ukipata mke mwema utakuwa na furaha, ukipata mke mwovu utakuwa mwanafalsafa.
7. KUHUSU USALITI.
-Vizuri kujiandaa kisaikolojia kusalitiwa, la usipojiandaa ama waweza kuua mtu au hata kujiua. ukiua mtu maisha yako yatakosa furaha
siku zote, ukijiua mwenyewe, hao waliokusaliti wanaweza kuishi kwa furaha zaidi ya ulivyokuwa hai.
8.KUHUSU PESA NA MAPENZI.
-Mapenzi bila pesa yanapatikana kwa wingi sanahuko mbinguni, hapa duniani ni ngumu mno lakini usihofu sana, kuna makubaliano bila pesa.Omba mungu.
9. KUHUSU UONGO.
-Wahenga walisema ukweli unauma na mimi nakuambia "Uongo unaua"
10. KUHUSU KUWAJUA WANAWAKE.
-Ewe mwanangu, kutaka kumjua mwanamkeunahitaji miaka mingi ya kuishi kuliko idadi yanywele zao. Usihangaike na vitabu, makala,majarida, filamu, nyimbo na hotuba zawanaofundisha mandhari za wanawake. Kunakanuni moja tu ya kupenda, " ili ubaki salamakatika kupenda sharti ujipende kwanza".
...Basi mwanangu hayo ndio machache nawezakukuhusia, na wewe una nafasi ya kujifunza zaidina kufundisha kwa ufanisi zaidi kuliko Mimi...