BioPsychologist
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 723
- 1,019
Kuna kundi kubwa la mabinti au wanawake walio kwenye mahusiano, simulizi zao kuhusu mahusiano yao ni tofauti kabisa na uhalisia.
Utakuta binti anasema "nimesota sana kumpata huyu mme wangu yaani nimekutana na wavulana wengi sana lakini nikaja kumpata huyu" mwisho wa kunukuu!
Ukimuuliza aliwahi kutongoza wanaume wangapi au aliwahi kuwatafuta kwa njia gani, wengi hawana majibu ya maswali hayo!
Je, anakuwa KAPATA au yeye ndiye KAPATIKANA ?