Nini cha kufanya endapo utagundua mpenzi wako amebadilika kitabia hayupo kama zamani?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Naombeni ushauli wenu wana JF

Hivi mtu ukishagundua mpenzi kabadilika kitabia hayupo kama zamani alafu kila ukijitahidi kumrudisha kwenye mstari unamuona kama amekuwa mzito

Ni kitu gani cha kufanya ukishagundua upande wa mwenzangu anaonesha dalili zote ameshabadilika hayupo kama zamani ukiangalia jinsi alivyokuwa anakufuraia, jinsi mlivyokuwa mkichati, jinsi mlivyokuwa mki hangout na mambo mengine sasa ni nini cha kufanya ukigundua dalili hizi?
 
Na wewe badilika mkuu.

Kama umeshajitahidi kwa upande wako kumrudisha kwenye mstari basi huna cha kubadilisha. Wakati mwingine ni heri tukubaliane na ukweli unaoonekana. Ukilazimisha utaumia zaidi ya muda huu.
 
Ungezitaja hizo tabia ndipo tunaweza tukakushauri kwa usahihi, na tumuhukumu kwa haki.

Ebu sema......
Mpenzi wako amebadilika na kuwa mwenye tabia kadhaa wa kadhaa
 
Ukishagundua hivyo ujue tayari... machali wa mjini tunasema imeisha hiyo, hapo una chako tena mzee.
 
Hiii mbinu ya kijeshi nishawahi itumia
Na wewe badilika mkuu.

Kama umeshajitahidi kwa upande wako kumrudisha kwenye mstari basi huna cha kubadilisha. Wakati mwingine ni heri tukubaliane na ukweli unaoonekana. Ukilazimisha utaumia zaidi ya muda huu.
 
Ukiona kitunguu kimezidisha harufu ujue kinaungua.
Huyo unamuonya Kwanza unajuw hw viumbe wako na udhaifu mmoja
"Mwanamke ukimpenda kupita kiasi, results zake ni dharau" atakushusha thamani , wanawake wanapenda zaidi wanaume pasua kichwa. Muonyeshe hubabaiki naye hata akibadilika kitabia huku moyoni mwako ukijua ukwer kuwa unababaika
 
Mmh kuna kila dalili ya mtu kunywa sumu hapa.... Piga chini bro ingawa itauma ila ni Kwa mda mchache tu..,otherwise itakuja thread hpa kuna njemba imejiua.
 
Back
Top Bottom