Baada ya uwekezaji wa mda mrefu hili ndo lilikuwa jibu langu. Toa na wewe la kwako

manonawire

JF-Expert Member
Dec 31, 2017
943
1,216
Habari zenu wakuu

Jibu lilikuwa hivi:

" ..... naona nisikupotezee mda na uwekezaji wako kwangu mimi sina furaha na mahusiano tutayoanzisha, siku njema"

Uwekezaji huu ulikuwa ni wa miezi 7

Sasa basi, majibu haya hutuhusu wote karibuni wana jamvi toa jibu ulilowahi pokea au ulilowahi kutoa. Kigezo ni uwekezaji wa muda mrefu.
 
Wewe badala ya kuwekeza kutafuta pesa unawekeza kwenye binti? Acha uliwe tuu... hiyo ni kama kuunguza account huko forex
 
Pole sana mkuu

Ila ulifanikiwa kutafuna ? Hapa ndo penye msingi hata akikuacha haina noma
 
Wewe badala ya kuwekeza kutafuta pesa unawekeza kwenye binti? Acha uliwe tuu... hiyo ni kama kuunguza account huko forex

Maisha n safari boss wenye pesa wana wake zao na kila jambo na majira yake
 
Pole sana mkuu

Ila ulifanikiwa kutafuna ? Hapa ndo penye msingi hata akikuacha haina noma
Hapana boss alinipa hope mwanzoni nikaongeza nguvu ila baadae akachange akagoma ingia kwny mahusiano

Vipande vya shekeli vilinitoka vya kutosha
 
Hapana boss alinipa hope mwanzoni nikaongeza nguvu ila baadae akachange akagoma ingia kwny mahusiano

Vipande vya shekeli vilinitoka vya kutosha
Mmmh hebu kuwa wazi shida hasa ni nini , yaani aliona mapungufu gani hadi akakucha hivyo?
 
Hapana boss alinipa hope mwanzoni nikaongeza nguvu ila baadae akachange akagoma ingia kwny mahusiano

Vipande vya shekeli vilinitoka vya kutosha

Mimi hua nawaambia kila siku, kadri unavyokaa na mwanamke muda mrefu bila kumtafuna ndio uwezekano wa kumtafuna unavyozidi kupungua na mvuto wako kwake nao unaenda ukipungua. Unakaaje na mwanamke miezi 7 hujala mzigo? Ina maana miezi 7 yote hiyo mnakua mnafanya nini mkikutana? Hata kwenye simu hamna tena cha kujadili maana hata stori zitakua zimeshaisha mnabaki "mambo mengine vipi?" "poa" "nipe mpya""hamna".
Narudia tena, maximum ya kutoka na mwanamke kabla ya kumla ni wiki mbili! Ikishazidi hapo kama hujala hata mate tu we achana nae huyo anatengeneza mazingira ya kukuchuna na mzigo hutakuja kuuonja kamwe...!!
 
Back
Top Bottom